Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm
Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm, Société de médias/d’actualités, Q. Kalinga Sud, Baraka.
04/02/2025
Makamo gavana Jean Jacques ELAKANO apokelewa kwa kishindo katika manispaa ya Katanga.
Sikiliza hotuba yake mwanzo mwisho.
Makamo gavana wa mkoa wa Kivu kusini Jean-Jacques ELAKANO awasili Katanga
08/01/2025
https://youtu.be/OYBvi6B8B08?si=h7p7ZgvazzpdpvE6
Muhimu leo hii :
Jeshi la taifa kwa ushirikiano na wazalendo wazima shambulizi la waasi wa M23 kutaka kupenyeza katika tarafa ya Kalehe mkoa wa Kivu kusini, huku hali ya wasiwasi ya tanda katika mji wa Minova.
Endelea kufuatilia ukurasa wetu, usikose ku sambaza kwa wengine na ku like ukurasa wetu ili kupata habari zaidi.
04/01/2025
https://youtu.be/BFlZ2oipWsM?si=fkMkGNYZQ-lxk15O
Fuata habari na uchambuzi wa kina toka Radio Kivu RCK Baraka 93.0.
Usikose kusikiliza habari za michozo ili kufahamu wachezaji wa k**e toka tarafa ya Fizi ambao wameitwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa.
Sambaza pia kwa watu wengine na usikose ku like ili kunufaika na mengi.
02/01/2025
https://youtu.be/Y9sHVkmXb4c?si=lt-bXJohiWRj365x
Aweka wazi kuusu swala la:
1. Ajira kwa vijana,
2. Kazi za ujasiriamali,
3. Ujenzi wa barabara ya taifa namba 5,
4. Usalama katika tarafa ya Fizi.
Na mengine mengi fuata mwanzo mwisho unufaike na mengi
Mbunge Albert LABANI MSAMBYA azungumza wazi kuusu miradi ya Fondation DAL
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Contacter l'entreprise
Téléphone
Site Web
Adresse
Baraka
-
01/01/2025