FIZI - ONE

FIZI - ONE

Partager

Nous sommes les leaders dans le transfert d'argent et le mobile money en territoire de Fizi. Avec no Transfert Rapide

26/01/2020

FIZI – ONE YA ANZA KUPANA CASH KWA UDUMA ZAKE ZA WESTERN UNION

Tangu tariki 20/01/2020 ukipokeya pesa kwenye uduma za western union mjini Baraka wa weza kuzipata kupitiya Airtel money, Mpesa ao kwa njiya ya cash.

Fizi – One imeanzisha kupana cash baada ya kusikiliza malalamiko ya wateja wake ambao walikuwa wakipoteza pesa nyingi kwa njiya ya Airtel Money.

Fizi – one ilikuwa kampuni ya kwanza kuanzisha uduma za western union tarafani Fizi myaka miwili iliyo pita. Mwezi wa saba mwaka wa 2019 Fizi – one ili anzisha tena kwa mara ya kwanza uduma za Pepele mobile kwa ushirikiano na Benki ya TMB ambayo sasa ina saidiya malipo ya mishahara ya walimu, wa polisi, wa askari na wafanyakazi wengine wengi wa serekali.

“Fizi – one Pamoja tunaweza”

12/01/2019

Fizi-One vous souhaite une année de bonheur et vous informe que nos services Western Union sont toujours disponibles à Baraka malgres la coupure d'internet en RDC. Happy New year.

Vous voulez que votre entreprise soit Société De Financement la plus cotée à Baraka ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Téléphone

Site Web

Adresse

Q. MAJENGO NO 22
Baraka
243

Heures d'ouverture

Lundi 08:00 - 17:00
Mardi 08:00 - 17:00
Mercredi 08:00 - 17:00
Jeudi 08:00 - 17:00
Vendredi 08:00 - 17:00
Samedi 08:00 - 17:00