Remaco Media

Remaco Media

Partager

TAARIFA ZA UHAKIKA
[email protected]

01/12/2024

Msanii ameachia Video alioipa kina la "TAMU" .

Audio ilitengenezwa na Chris Beat uku Video ikipikwa naye Director Mill Key .

Bonyeza apo kuweza kuitazama 👇👇👇👇👇👇👇👇👇

https://youtu.be/IVIQqbJZABw?si=hHFr13KVnvQAAZUG

10/09/2024

🚨 Studio ya inatangaza kuingia mkataba na baada ya kuachana na IB VIBES.

Wasanii wote wanakaribishwa

Tanganyika Talents
Ramazani Kahambwe SautiyaRadi
Umbeya kwetu tv
RTNC Kinshasa

07/09/2024

🚨 Ni mda kidogo umepita tangu msanii JoybCraq aachie ngoma yake ya "EZA FACILE TE" mpaka sasa. Ingawa kuna ngoma kadhaa ambazo ameshirikishwa Kutoka kwa Queen Merry na ile aliyoshrikishwa na kaka yake Kelvin Key-White Kelvin ''TELL ME" ngoma iliyochukua collaboration bora kupitia tuzo ya Lukuga Award.

Anatarajia kuachia ngoma yake mpya tarehe 13/09/2024 aliyoipa jina la "NAOMI".

Bonyeza apo chini kuweza kutembelea kazi zake zaidi👇👇👇

https://youtube.com/?si=pJrpbE86xvs2iM7k

Tanganyika Talents
Umbeya kwetu tv
Ndenga Stars Connect

05/09/2024

🚨 Bodyblack Mrwåzå Tėnå ameachia coming soon ya video yake ya "MTANITAFUTA". Bado haijajulikana video full ataachia lini .

Vous voulez que votre entreprise soit Entreprise De Médias la plus cotée à Kalemie ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Adresse

Kalemie
24315