CEPAC Sayuni Sange.

CEPAC Sayuni Sange.

Share

Elewa kuwa Kuishi kwako ni mapenzi ya MUNGU, sasa ni wakati wako wakujiswali maswali haya: 1. kwanini MUNGU amenifanya nizaliwe?, 2.

05/06/2026

Karibu kwenye ibada ya Mkutano mkubwa utakaoanza Mwaka huu wa 2026, Tarehe 16-17-18 Hadi 19, Mwezi wa Saba (07) Kwaya zitakuwepo kutoka Zehebu mbalimbali, wahubiri kutoka sehemu mbalimbali, waombaji watakuwepo kukuombea Pia Kundi kubwa la Wana wa Ngurumo kutoka ville ya Uvira, na wengine kaza wa kaza wote watakuwa pale.

Telephone