L-KIss

L-KIss

Partager

Artiste musicien
RnB

28/11/2024

L-kiss luck in Tanzania🇹🇿

28/07/2024

Un grand merci à mes nouveaux followers ! Vainqueur Mulimbi, Christine Baeni

14/02/2024

Mwezi wa wapendanao, mwezi wa makopa, mwezi wa mahaba, ili kunogesha upendo wako kwa yule umpendaye.

Nurupesa imekuandalia UA LANGU JACKPOT ya kipekee itakayochezeshwa siku ya tarehe 13/02/ 2024 Saa 9:50 jioni kuelekea Valentine Day yaani Tarehe 14/02/2024.

Mshindi atapata nafasi ya kupumzika na yule ampendae katika hoteli kubwa iliyopo katikati ya mji wa Iringa yaani Lumilo Classic Hotel huku gharama zote zikiwa chini ya Nuru pesa k**a vile chakula yaani dinner ,na usafiri buree kabisa, anza kucheza sasa na ushinde kwa buku lako tu kwa kutumia namba ya kampuni ya 553 111 na kumbukumbu namba ya 935.

Kumbuka ushindi wa mafungu utaendelea kutolewa k**a kawaida kila siku ila tu anayecheza mara nyingi kuanzia sasa anayo nafasi nzuri ya kuibuka mshindi kwenye JACKPOT ya UA LANGU.

*Kushiriki ni miaka 18 na kuendelea cheza kistaarabu.*

Vous voulez que votre personnage public soit Personnage Public la plus cotée à Goma ?
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Type

Adresse

Goma