Dixot
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tulitumia Maganda Ya Miwa Kukata Hiyo Placenda 🤣😂
22/05/2026
BRAYSON ASHAMWEKEA STANO RADA! 🔥
Mambo yamebadilika! Asha na Saida hatimaye wamehugiana na kuombana msamaha Hallelujah! Kila shabiki alikuwa anasubiri hii siku. 🙌❤️
Lakini upande wa Sabina, mambo ni magumu. Amechapwa za uso na Saida, kisha Tyrone akamwambia amfuate Robert kwani yeye sio baby daddy wake wa kuchezewa! Sabina anaweweseka tu chumbani kwake.
Huku mtaani, akina Asha wanatafuta Tinah kwa nguvu zote kwa kuweka posters, lakini kuna gaidi anazitoa. Hata hivyo, Brayson (Ray) hayuko nyuma ashaanza kumshuku Stano kuwa anajua siri ya kupotea kwa Tinah!
naona stano atatoboa Siri za Sabina akik**atwa vizuri na Ray,, unafikiri ray akimk**ata stano red-handed atamfanyia nini??
Click here to claim your Sponsored Listing.