Kinara Simmy

Kinara Simmy

Share

Call me HOSTAGE Former kinara kamili Wa mapenzi producer/artist
Email [email protected]

04/04/2026

snake eyes πŸ‘€

10/10/2025

Sawa tuachane πŸ˜”

07/02/2025

Hakuna kitu kinacho uma na kufanya moyo kufa ganzi zaidi ya kumuona yule ulie mpenda kwa dhati anaenda kuanzisha mahusiano na mtu mwengine tena kwa kejeli anaaamua kufunga nae ndoaπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Wakati umekaa nae mda mrefu umemvumilia amekupitishia changamoto ukaona heri uwe na subra kumbe subra yako ni kuumizwa baadaeπŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Vipi kuhusu mda wako alio upoteza
Vipi kuhusu mapenzi yako aliyo yadhalilisha....ianakubidi uumie ufute machozi uuukumbushe moyo wako kuwa haukuw sehem sahihiπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯kuna maisha baada ya maamuziπŸ˜₯πŸ˜₯acha waowaneπŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

28/11/2024

Ndina vandu vanje va ingo

Want your business to be the top-listed Media Company in Kitale?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Kitale