HON. JOHN MWITI
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HON. JOHN MWITI, Public Figure, Meru.
18/07/2025
Eruaki asidhani tumesahau tuliyoyapitia chini ya uongozi wake.Tunashukuru sana kwa yote na hatuyasahau kamwe...
√watu wa Antubetwe hawatasahau kiskirt Kwa sababu 2013,Disemba,watu tisa walipouliwa na wezi wa ng'ombe na akaripoti kwa redio ya kitaifa kuwa ni wao walienda kuchokoza waborana.Asante...
√Anjalu kwa mashemeji na watu wetu hawasahaulika sababu 2014,wakati watu wetu watatu walipigwa risasi huko Nginyo aliripoti kwa redio moja ya kimeru kwamba watu wetu wanauana wenyewe.alijua atawahi tuhitaji tena?🤔
√Miriki mpaka sasa wako kwa kilio,2015 wakati watu wao wawili walipigwa risasi Kauluko ka Sumairi pale Nginyo si kiskirt alipigiwa simu na polisi akasema ni wezi wa kutoka Samburu...unakumbuka hiyo miili ilipelekwa hifadhi ya maiti ya Isiolo na hadi watu wanne wa familia walifungwa siku sita wakifuatia miili ya wapendwa wao ili wakazike?Unakumbuka kwamba iligharimu familia zaidi ya majonzi kisa na sababu hawakuwa watu wako?
√kiskiry ,anakumbuka mashimo aliyotuchimbia katika mashule yetu huku akitwambia ni *fish pods?Unaweza aje lea samaki na maji ya kuchotea kwa mitungi?
Enyewe alituona matter core yake 🤦
√kiskirt ,anakumbuka madarasa aliyotujengea INC?Darasa moja kila shule lisilofikia hadhi ya kuitwa darasa.Unaweza aje jenga darasa Ya mbao , na Admin za mbao k**a ngukwine sec school 🤔
√Na ikumbukwe ni wakati wa uongozi wa kiskirt 2015/2016 na ambao wanafunzi wa vyuo vikuu walipewa bursary ya kiwango cha chini kutoka 500-1200
✓Isisahaulike mwaka wa 2014/2015 pesa za bursary zilipeyanwa k**a deni la HELB kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
Yafaa ikumbukwe kuwa kiskirt ndiye mp wa kwanza kufungwa juu ya corruption INC
no peu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |