Warembo wa Kenya
Knowledge, reality's,thinking,true fear of God,hard working plus confidence minus lice equals to BLESSED https://www.facebook.com/profile.php?id=100083967557643
26/05/2026
Hakuna Siku rais mstaafu Uhuru Aliambia Viongozi Wengine maneno k**a haya👇🏾
1. Ruto, nyinyi Hamna Akili ❌️
Uhuru,, uza sera, wachana na mimi
2 Ruto, uko na Tumbo kubwa, Kichwa Kubwa itapasuka❌️
Uhuru, Mimi ata unitusi niko tu
3.ruto, unalala na Wasichana Wadogo na kuwapatia mimba❌️
Uhuru, Sisi k**a serikali hatutakubali mtu yeyote kucheza na maisha ya Wakenya
4. Ruto, uko na Bibi wa Kukodesha, Nyumba ni ya Ndugu yako na hujui kununua Diaper ❌️
Uhuru,, tuheshimiane ndugu yangu. ama namna gani jameni
5. Ruto, Mimi nitawanyorosha hawa wajinga asubuhi❌️
Uhuru, wacha tufanye siasa ya amani na hawa Wakenya ndo wataamua nani kiongozi wao
6.ruto, ulishindwa kazi nikamfukuza ❌️
Uhuru, wewe unatangatanga kunitusi, si basi unisaidie kufanya kazi yenye umeona sijafanya, k**a umechoka na kazi you can resign yourself.
He was very PEACEFUL!
26/05/2026
Stolen enough
23/05/2026
Huyu mama wa 31 years akona ugonjwa wa kuzeeka 😢💔Mrembo wa South Africa, Snenhlanhla Khoza, ameacha watu wengi wakishangaa baada ya hali yake ya mwili kumfanya aanze kuzeeka kwa speed ya kutisha. Inasemekana dalili zilianza akiwa 27 years k**a patch kwa uso, baadaye akaanza kutapika sana na kupata maumivu makali ya mwili.
Licha ya kutafuta msaada kwa madaktari na hata waganga wa kienyeji, hali yake imeendelea kuwa mbaya. Madaktari wanahisi anasumbuliwa na ugonjwa rare wa genes unaoitwa Werner syndrome ambao hauna tiba inayojulikana kwa sasa. Wakati huo, waganga walidai ni mambo ya kiroho yanayohusiana na ex wake.
Story yake imegusa wengi online 😔🙏
Click here to claim your Sponsored Listing.