PAG Ngerek Assembly
This page is for gospel of Jesus
22/10/2025
wote mnakaribishwa
08/02/2025
Kwa niaba ya Ngerek PAG assembly we say makiwa kwa familia ya kuhani wetu Rev Kelvin Shanga ! Mamake mzazi ametangulia mbele za haki. Mungu wa Mbinguni amtangulie mama yetu kipenzi kwa amani tukiwa na tumaini katika Kristo kwamba siku moja tutamlaki Yesu pamoja mawinguni! Mum lala Salama kipenzi!😰😭
06/10/2024
Hatuna jina lingine la matengenezo Yetu ili tukawa Salama isipokuwa Jina la Yesu Kristo! Katika hili jina Kila Goti litapigwa! Unahitaji Yesu ili uasaidike💪
06/05/2024
This is the week of revival, umefungwa ,umekalaaniwa, umeibiwa,sasa ni saa ya kusema IMETOSHA MIMI NI KIUMBE KIPYA KATIKA KRISTO! Welcome all TO THE EMPASSY OF NGEREK PAG ! UPATE DAWA UPONE! KRISTO NI JIBU! Hii wiki ni yako
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Nandi
70,SIRWA