Linus Sports Arena

Linus Sports Arena

Share

SISI NI WEWE✊🏿✊🏿
KWA MATANGAZO TUTAFUTE KWA NAMBA +255682441983
FOR ADVERTISING CALL +255682441983/255628318183

19/01/2026

🚨Sadio Mané, mtu na nusu. 🚨

Baada ya Morocco kupewa penalti dakika za lala salama, wachezaji wa Senegal na kocha wanaisusia mechi hiyo, lakini Sadio akawataka wote warudi uwanjani kuendelea na mechi.

Kwa heshima yake Walirudi, Mendy aliokoa penalti wanaenda extra time dakika ya 94' kijana mdogo ata mapenzi hayajui Bado ana uvulana wake sio mwingine ni Pape Gueye anafunga mashine ya kukopea mkopo benki bila riba na kufanya Senegal kunyanyua taji lao la pili la AFCON baada ya lile la mwaka 2021 dhidi ya Misri pale Cameroon.

Nakiri Africa imefurahi kuliko kawaida Kwa kuona kitu k**a hiki.
Heshima ya kutosha kwa Sadio!
Mungu mtunze Gueye.
Mungu itunze Senegal.
Mungu itunze Africa.

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Arusha