Shaban Rajabu

Shaban Rajabu

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shaban Rajabu, Arusha.

25/04/2026

DALILI ZA KUTOKA KWA MIMBA
Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Yaani karibia robo ya mimba zinazopatikana hutoka. Kitendo hiki cha kutoka kitaalamu huitwa misscarriage. Hiki ni kitendo cha kupotea kwa ujauzito kabla ya wiki ya 20. karibia mimba nyingi hutoka ndani ya miezi mitatu ya mwanzo. Mimba iliyotoka inakuwa na dalili kadhaa. Pia wakati mwingine dalili hizi huashiria kuwa ujauzito upo hatarini.



Dalili hizi ni k**a;

Kutokwa na damu nyingi ukeni. Mjamzito anaweza kuona damu ikitoka ikiwa chache yaani matone kadhaa ama madoa hii ni kawaida. Lakini ikiwa nyingi huashiria hatari kwa ujauzito.
Kupungua uzito kwa ghafla. Bila ya kujuwa sababu yeyote mjamzito anapungua uzito wake kwa ghafla sana.
Kutokwa na uteute wa rangi ya pink iliyo pauka kwenye uke
Kuondoka kwa dalili za ujauzito kwa ghafla
Kutokwa na tishu yaani k**a vipande vya nyama vinatoka ukeni
Maumivu makali ya mgongo ama tumbo

08/09/2025

Kwa umakini mkubwa utaona kitu

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Arusha
DARESSALAAM