AFYA Maridhawa
Tunatoa huduma ya matibabu ya chanagamoto mbalimbali zakiafya na kutoa ushauri nasaha bure.
17/01/2023
KUVURUGIKA KWA HOMONI (HORMONE IMBALANCE)
💬Homoni ni kemikali zenye nguvu ambazo huzalishwa na Matezi.
Kemikali hizi huamrisha viungo tofauti tofauti vya mwili vifanye kazi yake iliyo kusudiwa. mfano wa kazi ambazo Homoni inafanya
@..Humsaidia mwanaume awe na Tabia za kiume k**a vile Ndevu,Besi,Nguvu pamoja na Misuli.
@.. Hivyo Hivyo kwa Mwanamke Humsaidia Awe na Sauti Nyororo,ngozi laini,Nywele za kuvutia,na Kiuno Ndondora.
** DALILI ZA KUVURUGIKA KWA HOMONI ZINAZO WEZA KUMPATA MWANAUME AU MWANAMKE.
1.Kuongezeka uzito kupindukia
2.Kuchoka bila sababu
3.Misuli kuuma
4.kupungua au kuongezeka kwa mapigo ya moyo
5.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
6.Kutoshika mimba na kutokumpatia mimba Mwanamke.
🌲DALILI KUU NA MADHARA YA TOKANAYO KWA KUVURUGIKA KWA HOMONI KWA WANAWAKE,
✅Kutoka Hedhi nzito,kukosa Hedhi,Hedhi kuruka,Kutoka Hedhi mfululizo.
✅Ngozi kuwa nyeusi hususani shingoni,chini ya mapaja.
✅Kuvimba kwa uke.
✅Maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.
✅Kutoka jasho jingi usiku
✅Maumivu ya Kiuno,mgongo na tumbo chini ya kitovu.
🌲NINI VISABABISHI VYA MATATIZO YA KUVURUGIKA KWA HOMONI KWA WANAWAKE..
1️⃣Matumizi ya njia za Uzazi,sindano,Vidonge vya majira.
2️⃣Ulaji mbovu
3️⃣Kisukari
4️⃣ Stress (msongo wa mawazo)
5️⃣Ujauzito
6️⃣Kukoma kwa Hedhi.
7️⃣Goita
◼️ MADHARA YA KUVURUGIKA KWA HOMONI
(HARMONE IMBALANCE).HUPELEKEA VIFUATAVYO,
🔹Kutoshika mimba
🔹 Mimba kuchoropoka mara kwa mara
🔹Siku za Hedhi Kuvurugika
💠HIVYO BASI HUJACHELEWA MATIBABU YA KUTATUA TATIZO LA KUVURUGIKA KWA HOMONI (HORMONE IMBALANCE) YANAPATIKANA KUPITIA BIDHAA ZETU MURUA ZA BF SUMA, NIPAMOJA NA
〰️Ginseng coffee,Yunzhi:Ambazo zitakusaidia kurekebisha Homoni.
〰️Zaminocal:Pia Zitasaidia mayai ya Mwanamke (Mwanamke anayehitaji Uzazi/mtoto. Pamoja na Bidhaa nyingine kwa
Mawasiliano:-
Me/was::-0622090616
Kwa asilimia kubwa wanawake wengi huzaliwa wakiwa hawana changamoto za uzazi, wengi hupata changamoto za uzazi baada ya kukutana na matukio mbalimbali k**a kuwa na matatizo katika mfumo wa homoni au vichocheo mbalimbali vya uzalishaji mayai, upevushaji mayai, mzunguko na kutumia dawa mbalimbali za uzazi bila kushauriwa na daktari.
Changamoto za uzazi zinahusisha mwanamke kushindwa kabisa kushika ujauzito au kushika ujauzito ambao unaishia kuharibika.
Dunia ya leo moja ya changamoto kubwa kwenye ndoa nyingi ni ishu ya uzazi, wanawake wengi wana changamoto hii na k**a nilivyosema sio kwamba walizaliwa na changamoto hii bali wameipata baada ya kuzaliwa.
Wanawake Wengine wanaachika kwenye ndoa na wengine wanaishi kwenye ndoa huku wakinyanyasika changamoto kubwa ikiwa ni Uzazi, ni tatizo kubwa sana kwenye ndoa nyingi za leo.
KUNA TIBA? Kuna wanawake wachache ambao wenye matatizo ya uzazi yenye ugumba usiotibika lakini kwa kiasi kikubwa matatizo mengi ya uzazi yanatibika isipokua changamoto ni kumpata mtaalamu wa kweli ambae analifahamu vizuri tatizo la uzazi na anaweza kulitibu.
KUNA MATAPELI? Ndio kuna watu ambao hujifanya wamebobea kutibu tatizo hili lakini mwisho wa siku huishia kula pesa za watu na hata kuwaongezea matatizo wagonjwa wao kwa kuwapatia dawa zinazowaongezea matatizo.
SASA MTAALAMU WA KWELI NI NANI? Ni ‘bf sumandani ya miaka 5 iliyopita wamewasaidia zaidi ya wanawake 500 kuondokana kabisa na changamoto za uzazi.
HAO BFSUMA NI UHAKIKA? Ndio tumekuandalia somo la Bure Kabisa Jinsi ya kuondokana na changamoto zinazoweza kukupekea wewe kutokushika mimba k**a U.T.I sugu, Kutokwa uchafu sehemu za siri , uvimbe katika mirija ya uzazi, kuondokana na chango, kizazi kiko mbali , kurekebisha homoni na k**a siku zako huzioni utaaanda kuziona baada ya somo hili
Njoo whatsapp 0622090616 uweze kuona ushuhuda wa wanawake ambao wamesaidiwa na BFSUMA Kumaliza kabisa tatizo la uzazi.
HAO BFSUMA WANATIBU KWA VIDONGE? Hapana, hawa BFSUMA wanatibu kwa mimea ya asili, mazoezi, chakula na ushauri mpaka tatizo lako la uzazi linaisha, hawauzi vidonge wala hakuchomi sindano.
NAWEZA KUWATAFUTA HAO BFSUMA SAHIZI? Ndio wanafahamu kwamba watu k**a wewe mmeteseka sana Ivo waweza kuwasiliana nasi kwa,,,,
SIMU NAMBA:-0622090616
Wa/me+255622090616
! *tz
22/11/2022

NAWEZA KUWATAFUTA HAO BFSUMA SAHIZI? Ndio wanafahamu kwamba watu k**a wewe mmeteseka sana na tatizo hili hivyo wametoa ruhusa uwatafute muda wowote.
+255 622 090 616
MHMH NITAPONA KWELI? Utapona na utakuja kutushukuru hapa kwa kukufanya uwafahamu , Utarudisha Tabasamu Lililopotea.
Tutafute whatsApp
+2556 22090616 au wapigie simu kwa maelezo zaidi.
19/11/2022
SABABU ZA MAUMIVU MAKALI CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA TIBA YAKE*
✍🏻Tatazo la maumivu chini ya kitovu huwakumba wanawake wengi sana katika jamii yetu wengi wao hawafahamu k**a hali hiyo ni kiashiria cha matatizo Fulani ya kiafya.
✍🏻Kwakua wengi huwa wanachukulia kawaida basi hali hiyo hupelekea wanawake wengi kupata matatizo makubwa ya kiafya baadae.
*Dalili za Tatizo*
✍🏻Dalili za tatizo hili huambatana na kusikia maumivu ya chini ya kitovu wakati wa kuinama, kunyanyua vitu vizito, maumivu katika siku za hedhi tatizo ambalo kitaalamu huitwa Dysmenorrhea au menstrual cramps.
✍🏻Maumivu katika kibofu cha mkojo, wakati wa kucheka, wakati wa Kulala kifudifudi, na wengine huisi maumivu katika tendo la ndoa
✍🏻Maumivu chini ya kitovu yapo ya aina mbali mbali k**a zifuatazo:
➡️Kuna maumivu chini ya kitovu katikati.
➡️Kuna maumivu chini ya kitovu upande wa kulia au kushoto au pande zote mbili.
➡️Kuna maumivu chini ya kitovu yanakua k**a kichomi na yanasambaa kwa marefu.
➡️Yapo maumivu chini ya kitovu ambayo huwapasa wanawake kwa wakati fulani tu na si muda wote k**a; wakati wa kushiriki tendo la ndoa, wakati wakuinama, kuinua vitu vizito, kucheka au kuimba.
Maumivu Chini ya Kitovu Huashiria Nini?
➡️Mirija ya uzazi kujaa maji uchafu ambao huzuia yai lisitembee vizuri na kupelekea maumivu makali sana chini ya kitovu pembeni. Mara nyingi tatizo hili huambatana na utokwaji wa maji machafu yenye harufu.
➡️Kuvimba kwa shingo ya kizazi, kuta za mji wa mimba, kuta za mirija ya uzazi na kuvimba vifuko vya mayai ya uzazi kwa wakati mmoja (PID), mwanamke mwenye matatizo haya hupata maumivu makali sana chini ya kitovu yakimbatana na utokwaji wa maji maji mazito k**a maziwa ya mgando yenye harufu kali.
➡️Maambukizi katika njia ya mkojo (UTI) mwanamke mwenye tatizo hili atapata maumivu makali wakati wa kukojoa, kwenga haja ndogo mara kwa mara, haja ndogo yenye harufu kali, hali ya homa, haja ndogo yenye rangi isiyo ya kawaida na inayotoka kilegevu.
➡️Vimbe kwenye mfumo wa uzazi k**a fibroids (vimbe kwenye mji wa mimba) au ovarian cyst (kuvimba kwa vifuko vya mayai ya uzazi). Matizo haya pia hupelekea maumivu makali sana chini ya kitovu na kuvurugika kwa hedhi.
Matatizo Ambayo Hupelekea Mwanamke Kupata Maumivu Makali sana Chini ya Kitovu kwa Wanawake.
➡️Pia husababishwa na afya mbovu ya kibofu (bladder) cha mkojo. K**a kusumburiwa na magonjwa ya UTI (urinary tract infection) ambapo bacteria wajulikanao k**a E coli hushamburia kibofu cha mkojo na kuzaliana.
➡️Pia husababishwa na kutokomaa kwa mayai ya uzazi jambo ambalo husababishwa na kuvimba kwa vifuko vya mayai (ovaritis) na kufanya maumivu mithili ya kichomi.
MATIBABU
👉🏿Tumia UZAZI PACKAGE kuondoa tatizo hili
Chaguo lako ni Uzazi package hii ni tiba maridadi kabisa kwaajili ya uzazi na mfumo mzima wa afya kwa upande wa uzazi
-inaondoa maumivu makali chini ya kitovu
-inaondoa fungus sugu
-inaondoa U.T.I
-inaondoa P.I.D
-inasawazisha mfumo wa hormone
-inaondoa masundo sundo
-inaondoa uvimbe ndani na nje ya uzazi
-inatibu saratani za uzazi
-inazibua mirija ya uzazi
-inarutubisha mayai
-inaondoa maumivu katika mfumo wa uzazi
-inakufanya uwe huru tena
Tiba hii ya uzazi package inasaidia wengi na kuponya wengi wenye matatizo ya uzazi k**a yako...matokeo kwa mda mfupi sana.. furaha yako na uponyaji wako mikononi mwako. I
Wa/me:-255622090616
25
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha