Ulimwengu wa Michezo
SHABANIFUNDISPORTS
MICHEZO ZAIDI @YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB NA SIMBA SC TANZANIA
KARIBUNI SANA
katika hii dunia kubali kukosolewa ndio utapita salama bila hivyo utajiona unajua kumbe huna kitu
23/06/2026
⏯️Kufikia kesho klabu ya Yanga Sc itakuwa imesaliwa na point 4 tu kutangaza ubingwa na iwapo Simba Sc ikapoteza Mchezo dhidi ya Singida Black Stars basi Yanga Sc utakuwa mchezo wake wa mwisho kutangaza ubingwa dhidi ya Azam Fc.
🔰Kufikia mwishoni mwa msimu huu Yanga Sc itakuwa imekusanya makombe matatu,tofauti na misimu iliyopita.
🔰Mpaka Sasa klabu ya Yanga Sc imetwaa makombe yafuatayo msimu huu.
🏆Ngao Ya Jamii Dhidi ya Simba Scj Tanzania.
🏆Mapinduzi Cup.
NBC PREMIEL LEAGUE kinara.
🔰Mwisho wa msimu Yanga Sc itakuwa na mataji matatu.
🗣️Sasa nilichotaka kuwaambia wananchi ni kwamba!
🔰Kilichotokea Juzi dhidi ya Azam Fc ni chakawaida kwenye mchezo wa mpira yaani Yanga Sc haiwezi kuwa Bingwa wa milele wa kombe lolote lile liwe ndani ya Nchi au Nje.
🔰Kwahiyo kupoteza Taji ni sehemu ya mchezo wa mpira,Hakuna Bingwa wa kudumu katika Mpira wala furaha ya kudumu katika mchezo huo.
🔰Ni imani yangu kwamba tunakwenda kujipanga katika msimu mpya wa 2026_2027
kuhakikisha unakuwa msimu bora zaidi kuliko huu.
🔰Kilichonitia Mashaka na tunao amini kuwa ni wachambuzi wetu Bora kwenye Inchi yetu ni hiki hapa kuamini kuw Yanga Sc kufungwa na Azam ni uzembe ila Simba Sc Tanzania kufungwa na MASHUJAA pamoja na GREENWORRIUSS katika nyakati tofauti na kutolewa kwenye mashindano hayo ilikuwa ni bahati mbaya tu sio kushuka kiwango.
🔰Si mnakumbuka kwenye Hili kombe la FA Simba Sc Tanzania iliwahi kupoteza dhidi ya Mashujaa na Greenworrious katika nyakati tofauti tena kwa idadi ya gori tatu dhidi ya Greenworrious na 2 dhidi ya Mashujaa?
Media ziliongea nini?
🔰Narudia kauli Yangu thabiti kabisa kuwa tumepoteza tukiwa sio wanyonge na sio lahisi ukashinda miaka mitano mfululizo michezo ya kombe hilo na k**a lahisi jaribu uone.
Fundi Yanga Fundi
23/06/2026
MUTALE AWAAGA MAKOLO
Sina majuto yoyote. Imekuwa ni heshima na furaha kubwa kuichezea klabu hii ya ajabu. Asanteni kwa kila kitu, Simba Sports Club. Nawatumieni kila la heri katika siku zijazo. NGUVU MOJA. 🦁🦁
Mungu bado ana jambo la kusema. 🥷7
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Arusha