Better Health

Better Health

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Better Health, Health/Beauty, Arusha.

02/01/2021

*Magnesium* is a nutrient that the body needs to stay healthy. Magnesium is important for many processes in the body, including regulating muscle and nerve function, blood sugar levels, and blood pressure and making protein, bone, and DNA.

03/08/2020

Pia baadhi ya kazi zinaweza kuwa kichocheo kwa mtu kupata maumivu hasa ya magotini.

Kwa kazi ambazo mtu anatumia muda mwingi kuinama, kuchuchumaa na kusimama, hii zaidi huwapata wafanyakazi wote wa viwandani na bustani.

Hata hivyo, hakuna jambo la kufanya litakalo kulinda dhidi ya arthritis kwa asilimia 100, japokuwa zipo hatua unazoweza kutumia kila siku kupunguza hatari ya kupata maumivu kwenye maungio.

Jiepushe na uzito uliopitiliza, kuvuta sigara na kula mlo kamili unaozingatia afya ya mwili.

K**a unapenda kufanya mazoezi, chagua vifaa vitakavyokukinga na majeraha.

Hakikisha unatembea kwa uangalifu na ikitokea umepata jeraha kwenye maungio pata muda wa kumpuzika ili kurejea katika hali ya kawaida.

Isipokuwa daktari amekuambia vinginevyo, ni vizuri kufanya mazoezi hata k**a una arthritis.

Mazoezi yatasaidia kupunguza maumivu, kuongeza nguvu na viungo kuimarika.

Zingatia aina ya zoezi unayofanya ili kujiweka katika tahadhari ya kiafya.

Dalili nyingine ambayo inaweza kumpata mtu ni kuchoka kusiko kwa kawaida ambako kunaambatana na maumivu yasiyo ya kawaida na wakati mwingine kupoteza fahamu. Ikitokea hali hiyo ni vema kumuona daktari.

Ili ujigundue haraka kuwa una arthritis ni kujitokeza kwa uvimbe wa duara kwenye vidole vya miguu, mikono na kiwiko cha mkono.

Bahati mbaya, Hospital wanasema hakuna dawa ya uhakika ya kutibu arthritis, lakini daktari akikutibu anakupa dawa ya kutuliza maumivu na kuvimba ili kupunguza athari na kukurejesha katika hali ya kawaida.

Ikiwa dawa hazijamaliza tatizo, mgonjwa anaweza kufanyiwa upasuaji hasa kwenye kiuno, nyonga au kubadilisha kisigino cha mguu.

Hata hivyo, upasuaji sio njia sahihi kwasababu wataalamu wanasema hupunguza utendaji wa viungo husika baada ya upasuaji.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Arusha