KS Security Limited
A company that deals with people's lives by providing professional security services to meet demands.
16/04/2025
Unatafuta Kampuni ya Kuaminika ya Kusambaza Mizigo kwa Wateja Wako Arusha?
KS Security Delivery Services ndiyo suluhisho lako kamili!
Je, wewe ni muuza bidhaa mtandaoni na unahitaji kampuni sahihi ya kupokea mizigo yako na kuiwasilisha kwa uharaka, usalama na uaminifu kwa wateja wako waliopo Mkoa wa Arusha? Tunakukaribisha KS Security – kampuni iliyosajiliwa rasmi na yenye ofisi zetu zilizopo Ngarenaro, National Housing – Arusha.
Huduma Zetu:
Kupokea mizigo kwa niaba yako na kuifikisha salama kwa wateja
Huduma ya Cash on Delivery (COD) – Tunapokea malipo kutoka kwa mteja na kukukabidhi
Ufuatiliaji wa kila mzigo hadi kufika kwa mlengwa
Huduma za haraka, salama na zenye uaminifu mkubwa
Kwa wauzaji wa bidhaa mtandaoni, kuwa na usafirishaji wa kuaminika ni hatua ya mafanikio. Kwa kushirikiana nasi, utapata nafasi ya kuuza zaidi na kuwafikia wateja wako kwa ufanisi!
KS Security – Tunahakikisha bidhaa zako zinawafikia wateja salama na kwa wakati.
Wasiliana Nasi Leo:
Simu/WhatsApp: 0683048599.
Mahali: Ngarenaro, National Housing – Arusha
01/09/2024
31/08/2024
Ks security company limited
03/08/2024
Kampuni makini ya ulinzi.
31/07/2024
Huduma Bora ya ulinzi wasiliana nasi
0695334649.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha