Paraprofessional Animal Health Service
providing animal health and production serveices to minimize livestock cost and increase profit at reciprocated rates.
09/09/2021
Za leo?
Poleni na majukumu ya kila siku.
Ninawakumbusha kuwa tunatoa huduma za mifugo on call. Unatupigia simu tunakufikia popote ulipo Dar es salaam.
Huduma za uhimilishaji.
Chanjo za poultry.
Kuchunguza na kutibu magonjwa ya mifugo.
Na kwa wale watakao hitaji huduma za kuhasi mbwa na paka pia tuna refer at a clinic level.
Namba ni...
0743407404
0716164979
Tunatoa chanjo za aina yote tukianzia kwa ng'ombe hadi kwa kuku, tunafanya upasuaji na utoaji vizazi kwa mbwa na paka, tunatoa huduma za uhimilishaji kwa ng'ombe sambamba na huduma zote za afya na lishe kwa ng'ombe wa maziwa, pia ushauri juu ya ufugaji wenye tija, na huduma nyingine nyingi zihusishazo afya na uzalishaji mifugo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
464700392013