Obama Media

Obama Media

Share

Our Commitment is to deliver compelling content remains unwavering.

25/05/2026

https://youtu.be/jQKUEfq9_ko?si=W0t4BuwTLhGqSboh

MEDIA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli Mhe.kisioki Moitiko afanya ziara stendi ya Kata ya Monduli mjini nakuahidi kutoa kiasi cha milioni 10 pamoja na kuelekeza kufungwa taa 10 Ili kufanya ukarabati wa stendi ya Kata ya Monduli mjini.

Aidha Mwenyekiti wa uongozi usafirishaji Ndugu.Abdula Lema ashukuru Halmashauri ya Monduli Kwa kuona umuhimu wa stendi hio huku akiahidi kuonyesha ushirikiano na uaminifu kwenye Kila shilingi katika matumizi yake mara baada ya kupokea fedha hizo.

Pia Diwani wa Kata ya Monduli mjini Mhe.Hussein Olekuney akikisisitiza kushirikiana na wafanya biashara pamoja na wananchi wa eneo la stend kufanya uamuzi Kwa pamoja Ili kuleta tija Kwa matumizi ya fedha hizo.

22/05/2026

MKUU WA WILAYA YA MONDULI AWAONYA MADIWANI KUHUSU POMBE.

07/05/2026

BARAZA LA MADIWANI MONDULI

06/05/2026

Leo katika baraza la madiwani Mhe.Hussein Olekuney akiwasliisha hoja kuhusu Vibanda vya soko la Kila siku Kata ya Monduli mjini apata majibu ya Papo Kwa hapo na kuongezewa muda wa Miaka mitatu ILi kurudisha gharama za Ujenzi wa Vibanda hivyo
wakati wananchi Hao waliomba waongezewe muda wa Miaka 10 mingine badala ya Miaka nane walio pewa Ili kurudisha gharama zao Baraza hilo la madiwani likiongozwa na Mhe.kisioki Moitiko ambaye ndie Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli wameadhimia kuongeza Miaka mitatu k**a motisha ya wapangaji wa Vibanda hivyo Ili kurudisha gharama za Ujenzi wa Vibanda hivyo

01/05/2026

*CHANGAMOTO ZA CHUO CHA UWALIMU MONDULI ZATUA KWA MBUNGE WA MONDULI.

Katibu wa Mbunge Jimbo la Monduli Bw.Denis Murindati akimuwakilisha Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Isack Joseph Corpiano ambaye ni Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 60 katika chuo cha Ualimu Monduli.

Katika risala Iliyosomwa kwa Mgeni rasmi Bw.Denis uliainisha moja changamoto inayokumba chuo hicho hasa ukosefu wa maji ya dharura kipindi cha kiangazi chuoni hapo wameomba kupata matenki ya kuhifadhia maji pamoja na ukosefu wa samani katika bwalo la kulia.

Hata hivyo kwaniaba ya Mbunge Jimbo Ndg.Denis Murindati amesema ofisi ya Mbunge itatoa fedha kiasi cha milioni 8 kutoka mfuko wa jimbo kutatua changamoto hizo,moja ya changamoto ikiwemo ni Kununua Matenki matano ya kuhifadhia maji yenya thamani ya milioni 5 na kununua meza 10 zenye thamani ya Kiasi cha milioni 3 pamoja na Samani zingine zitakazotumika kwenye Bwalo lakulia chakula.

Aidha muwakilishi wa ofisi ya Mbunge ndugu murndet ameahidi kuzungumza na wadau wa maendeleo kujenga uwanja wa basketball Ili kusapoti michezo Kwa afya za wanachuo hao.

Photos from Obama Media's post 30/04/2026

*CHANGAMOTO ZA CHUO CHA UALIMU MONDULI ZATUA KWA MBUNGE WA MONDULI*

Katibu wa Mbunge Jimbo la Monduli Bw.Denis Murindati amemuwakilisha Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe.Isack Joseph Corpiano ambaye ni Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 60 katika chuo cha Ualimu Monduli.

Katika risala Iliyosomwa kwa Mgeni rasmi Ndg.Denis iliainisha moja changamoto inayokumba chuo hicho hasa ukosefu wa maji ya dharura kipindi cha kiangazi chuoni hapo wameomba kupata matenki ya kuhifadhia maji changamoto nyingine ni ukosefu wa samani katika bwalo la chakula.

Hata hivyo kwaniaba ya Mbunge Ndg.Denis Murindati amesema ofisi ya Mbunge wa Monduli Mhe.Isack itatoa fedha kiasi cha milioni 8 kutoka mfuko wa jimbo ili kutatua changamoto hizo,
moja ya changamoto ikiwemo ni Kununua Matenki matano ya kuhifadhia maji yenya thamani ya milioni 5 na kununua meza 10 zenye thamani ya Kiasi cha milioni 3 pamoja na Samani zingine zitakazotumika kwenye Bwalo lakulia chakula.

Aidha muwakilishi wa ofisi ya Mbunge ndugu murndet ameahidi kuzungumza na wadau wa maendeleo kujenga uwanja wa basketball Ili kusapoti michezo Kwa afya za wanachuo hao.

29/04/2026

Mbunge 2020-2025 wa Jimbo la Monduli Mhe Fred Lowassa atoa salamu za Rambirambi kwenye ibada ya mazishi Kwa familia ya Mzee Lengisugi iliyo fanyika katika Kanisa la KKKT Monduli Mjini Leo tar 29/4/2026

26/04/2026

Leo katika mahafali ya kidato cha sita Shule ya Sekondari moringe Mgeni Rasmi ndugu Taiko kulunju ambae ni mdau wa maendeleo na mfanya biashara mererani atoa kiasi cha milioni NNE fedha taslim mara baada ya kusikiliza changamoto Kwenye risala iliyo somwa na wanafunzi wa kidato cha sita shule ya Sekondari moringe.

miongoni mwa changamoto zilizokua zimetajwa ni uzio kwenye mabweni ya wasichana kua hafifu mpaka kufikia wezi kuingia nakuwaibia wanafunzi vifaa vyao vyakusomea hivyo wanafunzi kuishi Kwa hofu kwenye mazingira ya Shule hiyo.

Aidha mgeni huyo ameweza kupongeza juhudi za walimu Kwa kupadisha ufaulu Hadi kufikia kiwango cha daraja la Kwanza na lapili tuu na kusisitiza wabaki na daraja moja ambalo ni division One.

akizungumza na Obama media mkuu wa Shule ya moringe SOKOINE ndugu.Lazaro Ndoki amemshukuru mgeni rasmi Kwa kutimiza malengo hayo huku akiamini zile siku 21 alizo zitoa Mgeni Rasmi kua atamalizia kiwango kilicho bakia Ili kufikia milioni 7 ambae ni Bei ya kukamilisha uzio huo

24/04/2026

MTAALA MPYA KUANZA 2027-2028 MKUU WA DIVISION ELIMU SEKONDARI WILAYA YA MONDULI NDG.HELEN MSEWE

21/04/2026

SIKILIZA NONDO ZA MR.SHAYO JUU YA WATENGENEZA MAUDHUI MTANDAONI kwanza na utu

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Monduli
Arusha
255