DaudiPages
Helping you to become published author!.
30/03/2024
Client feedback | DL hakika nashukuru sana kwa kazi nzuri. Nimefurahi sana, mnafanya kazi nzuri, kwa bei nafuu na kwa wakati....- Rev. Petro Lembalai
Read 65+ reviews here https://bit.ly/3nYBy4X
30/03/2024
Ilikuwa juzi tu kwenye group la DL Sellers. Ilianza k**a utani tu baada ya kupokea report yangu ya mauzo ya mwezi wa tatu
Niliwaambia kwenye group, nakusudia kutoa training inayohusu mambo ambayo yanamvuta msomaji anunue kitabu ili sisi k**a authors tunapofanya marketing, juhudi zetu ziweze kuzaa matunda
Baadaye niliweka poll ya kukusanya maoni tufanye lini hiyo training, wengi wakachagua weekend.
Basi sasa,
Kesho saa mbili usiku nitakuwa nafundisha MAMBO YANAYOMVUTA MSOMAJI ANUNUE KITABU.
Mafunzo haya ni bure kwa members wa DL Sellers lakini nitakumegea megea dondoo zake kwenye Channel ya DL Bookstore. Unaweza ku subscribe hapa https://whatsapp.com/channel/0029VaDYEPF9xVJbsM8WpG2P
Asante sana.
Naitwa Daudi Lubeleje
DaudiPages - Platform for writers and authors
Click here to claim your Sponsored Listing.
Kuhusu DaudiPages
Jukwaa la makala za uandishi wa vitabu.