Mshauriwaafya
Acha Kuteseka na magonjwa sugu ulionayo
Njoo unitulize chochote kuhusu afya yako
Nitakujibu BURR KABISA
MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE
16/06/2022
CHOO KIGUMU, KUTOPATA CHOO(CONSTIPATION)
✍🏽Hili ni Tatizo la kutopata choo Kwa Muda Mrefu au Kupata Mara Chache
Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka K**a Cha Mbuzi
Inasababishwa na mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula
Kwenye tumbo Na Utumbo kutokana na sumu tunazoingiza mwilini kila siku kutoka kwenye vinywaji , Chakula , Dawa , Hewa tunazovuta Pamoja na Mafuta tunayokula
DALILI ZA TATIZO
●Kutopata Choo Kila Siku Wakati Unakula milo 3 au Zaidi Kwa siku
●Kupata Choo Kigumu Sana,K**a Cha Mbuzi
●Kutumia Muda Mrefu chooni, kutumia nguvu Sana
●Kupata Gesi,mingurumo tumboni Au Kujamba Na Harufu mbaya Sana inatoka
●kuhisi kijinyama,Kupata miwasho,maumivu sehemu ya haja kubwa
●Maumivu Ya Tumbo,miguu,mabega
●Kupungua Nguvu za Kiume,Kukosa Usingizi,
●Kukosa Hamu Ya Kula,Kupata Kiungulia,Harufu Mbaya Kinywani,
K**a Unashindwa kupata choo Angalau Mara moja baada ya Siku 2 Na Unakula Mara Tatu (3) Kwa Siku,Upo Kwenye Hatari Kubwa Ya Kupata Magonjwa Mengi mno
🔺🔺 SULUHISHO
Tafadhali K**a Wewe ni Muathirika wa Tatizo lolote kati ya Dalili Ulizoziona hapo Usiache Kuwasiliana nasi Kwa Msaada na Utatuzi wa Tatizo lako.Tuna Tibalishe zilizothibitishwa ubora wake kwenye kutatua Changamoto hio
Tupigie simu zetu kwa tiba elimu na ushauri
kwa ushauri na tiba Njoo WhatsApp: 0746525852
09/05/2022
SALMON OIL
1. Inaondoa mafuta mabaya (cholesterol) katika mishipa ya damu
2. Husaidia afya ya moyo na mzunguko wa damu
3. Husaidia afya ya viungo (joints) kwa kuongeza ute ute (synovial fluid ) hata gouts
4. Hukukinga na shinikizo la moyo
5. Husaidia kuongeza kumbukumbu na kwa watoto pia husaidia
6. Hushusha pressure ya kupanda
7. Inasaidia afya ya ubongo
8. Inatibu kipanda uso ( migraine headaches )
9. Husaidia afya ya macho
10. Inasaidia ufanyaji kazi wa kongosho
11. Inaondoa rashes kwenye ngozi
12. Inazuia magonjwa ya kurithi iwapo itanywewa wakati wa ujauzito
13. Inapoza maumivu ( ant inflammatory effect )
14. Ikitumiwa na chelated zinc husaidia afya Prostate Gland hivyo huzuia kansa ya kibofu cha mkojo .
Call or whatsapp 0746525852
19/10/2021
Leo nikujuze juu ya bawasiri.
Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya VENA katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
01. Tatizo sugu la kuharisha
02. Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
03. Uzito ao unene kupita kiasi( )
04. Kufanya mapenzi kinyume na Maumbile
05. Ukosefu wa nyuzinyuzi (fibers) kwenye mlo wa kila siku
06. Kujizuia kwenda Haja kubwa kwa Wakati
07. kukaa chini (ofisini) kwa mda mrefu
08. Utu Uzima
09. Ujauzito
10. Kutumia vyoo vya kukaa
DALILI ZA BAWASIRI
~>Muasho sehemu za haja kubwa
~>Maumivu wakati wakujisaidia haja kubwa
~>Maumivu makali na kushindwa kukaa vizuri
~>Hali ya kujisikia haja kubwa lakini haitoki
~>Harufu mbaya na kali wakati wa kujisaidia
~>Uvimbe ao kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa (inaweza kutoka kwa NDANI ao kwa NJE
ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume. kwa msaada zaidi .
Je unapatwa na hizo dalili??? K**a ndiyo Basi suluhisho la tatizo lako lipo.
NB.operation siyo suluhisho la tatizo HILI.
Tunajali afya yako.
✍️✍️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |