Deejay lug

Deejay lug

Share

a real entertainer dj lug for good music(mixing) in all occassion...ceremonies,concerties,parties...

26/09/2025

UJUMBE WA LEO

1 Timotheo 1:13
"ingawa hapo kwanza nalikuwa mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye jeuri, lakini nalipata rehema kwa kuwa nalitenda hivyo kwa ujinga, na kwa kutokuwa na imani."

Kila mmoja wetu anayo historia yake ya maisha ya awali na ya sasa. Historia ya Paulo, alianza vibaya akamalizia vizuri. Hii Inampa ujasiri kushuhudia badiliko zuri katika maisha yake.
Linganisha maisha Yako ya zamani na ya sasa ni yapi bora zaidi (Kiroho, kimaisha, kiuchumi). Mshukuru Mungu kwa badiliko jema kwako. Amen.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

http://www.facebook.com/djlug

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00