Dabe Tech
🚀 Full Stack Developer + Designer
🎨 Logos | UI/UX | Social Media Design
📍Tanzania 🇹🇿 – Let's grow your brand
View my portfolio & contacts👇
Label design for Eishoke Hair Growth Butter
11/05/2026
Biashara yako inahitaji zaidi ya social media account.
✅Kuwa na official business website kunafanya biashara yako iwe professional zaidi.
✅Website systems zinasaidia kuendesha operations za biashara, kuondoa upetuvu wa mapato na taarifa na kusaidia biashara kukua zaidi.
✅ E-commerce websites ni biashara kamili inayotatua changamoto na kuzalisha kipato
Unachelewa sana k**a hauna website kwa ajili ya biashara yako.
Dabe Tech tuna experience ya zaidi ya miaka mitatu (3+) ya kutengeneza Website za aina mbalimbali kwa wateja wetu.
Leo tunataka kutengeneza ya kwako, tukusaidie kui-positition biashara yako in a more professional way.
Wasiliana nasi leo, Let's build.
logo re-design
23/04/2026
✨ Cosmetic Label Design by Dabe Tech ✨
Kwenye bidhaa za urembo, packaging ndiyo first impression.
Label nzuri inaongeza mvuto, uaminifu, na thamani ya bidhaa yako hata kabla mteja hajajaribu.
Kwa design hii, nilihakikisha inaonekana clean, elegant na professional — inayolingana na ubora wa bidhaa yenyewe.
Unauza skincare, haircare au beauty products?
Let your packaging speak for your brand. 🌿✨
📩 DM au WhatsApp: +255 627 150 007
Cosmetics Labels Delivery to and
Kuanzia labels design mpaka printing. Na tunafanya delivery kote Tanzania.
Wasiliana nasi DM au WhatsApp https://wa.me/255627150007
14/04/2026
🗞️ Habari Zako, Jukwaa Lako
Je, wewe ni mwanahabari binafsi, blogger, unaendesha chombo cha habari, au una passion ya kuandika na ku share habari zako?
Sasa unaweza kuwa na jukwaa lako binafsi la habari - bila kutegemea platforms nyingine.
Ninakusaidia kupata mfumo kamili wa tovuti unaokuwezesha:
✅ Kuandika na ku-post habari zako kwa urahisi
✅ Kuunganisha YouTube channel yako na mfumo wako
✅ Kujenga subscribers base (email au phone number list)
✅ Kuwa na Landing Page yako professional na inayovutia kuonyesha habari zako na kujenga uaminifu.
Kwa wanahabari binafsi - ni nafasi ya kujenga brand yako.
Kwa taasisi au media houses - ni njia ya kusimamia maudhui na kufikia hadhira yako kwa ufanisi zaidi.
Hii sio website ya kawaida - ni mfumo kamili wa kukuza brand yako ya habari na kukuza kipato kupitia maudhui yako 💻✨
📩 DM au WhatsApp kuanza leo
😃
11/04/2026
wana series ya products kwa ajili ya watoto COCOVICH LITTLE LEAF ™️.
Dabe Tech tulipewa nafasi ya kudesidn labels kwa ajili ya products hizo, na hii ni label design ya product mojawapo - Gentle Comfort Wash.
Sio label, ni label inayouza.
Unahitaji design kwa ajili ya biashara yako? Wasiliana nasi sasa
WhatsApp - 0627150007
09/04/2026
Afya ni kipaumbele — na brand inahitaji kuonyesha hilo 💙
Nimepata nafasi ya kubuni logo ya Afya Equip Tanzania , brand inayojihusisha na vifaa vya tiba na mobility solutions kwa jamii. Lengo lilikuwa kuleta muonekano wa trust, care na professionalism kwenye identity yao — na hii ndiyo matokeo ✨
At Dabe Tech, hatuchori tu logo… tunajenga taswira ya biashara yako ili iaminike na kuvutia wateja sahihi 🎯
📩 Unahitaji logo au branding ya biashara yako? Let’s build something powerful.
04/04/2026
Karibu Dabe Tech 💻✨
Tunasaidia biashara na watu binafsi kubadilisha mawazo yao kuwa mifumo ya kidigitali inayofanya kazi — kuanzia Graphic Design, Website Development, hadi Tech Consultation.
K**a unahitaji:
✔️ Logo & Branding inayovutia
✔️ Website ya kisasa kwa biashara yako
✔️ Designs za matangazo (Social Media & Print)
✔️ Solutions za kiteknolojia za kuboresha biashara
👉 Dabe Tech tupo hapa kukusaidia kuonekana professional na kukua kidigitali 🚀
Wasiliana nasi sasa tukusaidie kuanza au kuboresha biashara yako!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha