Tracy Rabi

Tracy Rabi

Share

Elimu ya Fedha na Biashara kwa watoto. Author | Founder @tanzaniayouthentrepreneurshipexperience

09/04/2026

Nunua sasa, vitabu vya Elimu ya Fedha na Biashara kwa watoto wa umri wa miaka 8-17 hapa

Vitabu vinapatikana tawi la Elite Bookstore Mbezi Beach, , na Dodoma .supermarket

Mwanao atajifunza Maneno muhimu ya fedha, Jinsi ya kujenga tabia ya kuweka Akiba, kuanza Biashara akiwa bado mtoto na Jinsi ya kutumia Pocket money yake vyema!

21/03/2026

Eid Mubarak, little stars! πŸŒ™βœ¨

20/03/2026

Ukipenda mwanao ajifunze zaidi kuhusu Fedha na Ujasiriamali, unaweza kupata nakala yako katika maduka yafuatayo:

Dar es Salaam & Dodoma:
β€’ (Mbezi, Palm Village – DSM & Dodoma)
β€’ (Mlimani City, Masaki, JKNA Airport – DSM)
β€’ (Slipway – DSM)
β€’ (Posta DSM & Dodoma)

Arusha:
β€’ Book Point Bookshop .point.tz
β€’ Kase Stores

Chukua nakala yako leo na uwe sehemu ya kizazi chenye ujuzi wa fedha na biashara, naturally πŸ˜‰

17/03/2026

Guess the School…

In commemoration of the Global Money Week, today I spent time with awesome group of students talking about πŸ€‘πŸ’΅πŸ’ΈπŸ’°πŸ’΄πŸ’³πŸͺ™πŸ’²πŸ’Ά

Want your business to be the top-listed Finance Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Azikiwe Street, P.O Box 268
Dar Es Salaam
255