CHAP CHAP POINT-Updates
●SELL●BUY●PROPERTY MANAGEMENT●INTERIOR DESIGN ●TITLE DEED
Call&Wast:255777403199
https://youtu.be/Nf9BGm9mAI4
https://twitter.com/chapchappointlt?s=08
21/09/2023
19/09/2023
Mradi wa Viwanja DODOMA - VIKONJE B PROJECT
✨Mradi upo karibu kabisa na Mji wa Kiserikali-CHAMWINO
✨Ni Km 3 tu Kutoka barabara kuu
✅Bei zetu ni nafuu yaan Sh. 9,000 tu @ sqm,
✅Malipo haya yanaweza kufanyika kwa njia ya cash au installment kuanzia miezi 6 hadi miezi 12.
✅Viwanja vina ukubwa kuanzia Sqm 600 hadi 4000
✅Viwanja vinafaa kwa matumizi ya makazi, biashara au kuwekeza kwa ajili ya baadae(Asset).
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba: 0777 403199 | 0744 006001.
.
19/09/2023
MILIKI KIWANJA CHA MAKAZI/ BIASHARA KIGAMBONI GEZAULOLE 🏠
✨Mradi upo karibu kabisa na Hospitali kuu ya Wilaya ya Kigamboni.
✨Ni Km 2.5 tu kutoka barabara kuu hadi site( Kituo cha Mivumoni)
✨Mradi umezungukwa na huduma zote muhimu za kijamii k**a vile maji, umeme, majirani, maduka ya vifaa vya ujenzi na matumizi ya nyumbani, huduma za kidini(makanisa na misikiti), hospitali pamoja na shule.
✅ Vimebakia viwanja 24 tu vyenye ukubwa kuanzia mita za mraba Sqm 500 hadi 1200.
✅ BEI: 30,000/= @ sqm (bei hii imejumuisha gharama za hati), Pia Malipo ya awali ni 30% ya gharama jumla ya kiwanj na kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi sita.
MFANO:
•Kiwanja chenye Ukubwa wa Sqm 600*30,000 =18,000,000/=.
•Hivyo malipo ya Kila Mwezi ni Sh.2,100,000/= tu (kwa miezi SITA).
✨PIA, Tunatoa huduma ya Upimaji wa maeneo na Kufatilia Hati Miliki Kutoka Wizara ya Ardhi kwa gharama nafuu.
☎️ Wasiliana nasi kupitia namba: |+255 744 006 001|. |0777 403199|.
📍Ofisi zetu zinapatikana: Posta, Pamba House ghorofa ya Pili (2nd Floor).
CCPL 🔥EXPERT BETTER PROPERTY WITH US 🔥
.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Dar Es Salaam