Simba would updates

Simba would updates

Share

ukurasa huu upokwaajili ya kutoa taarifa za simba sc

10/06/2023

SIMBA BABA LAO CAF KWA MKWANJA

🚨Simba aliishia Robo fainal ya kombe la club bingwa Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 650,000 sawa na TSH 1,524,250,000/- (bilioni moja milioni mia tano ishirini na nne na laki mbili na hamsini tu)

🚨Yanga alimaliza nafasi ya Pili ya kombe la shirikisho barani Afrika akazawadiwa kiasi Cha USD 625,000 Sawa na Tsh.1,465,625,000(Bilioni moja milioni mianne sitini na tano na laki sita na ishirini na tano elfu tu

Kwa maana hiyo Simba SC kaizidi Yanga kiasi Cha USD 25,000/ Sawa na TSH.58,625,000/(milioni hamsini na nane laki sita na ishirini na tano elfu tu) hata wakiuza 🏅 zao zote hazitaweza kufikia kiasi hicho hivyo Simba SC kachukua (MPUNGA/MKWANJA,PESA) mkubwa mno

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

+255765104770
Dar Es Salaam
HTTPS://WWW.FACEBOOK.COM/100084527869219/POSTS/108462161981379/?FLITE=SCWSPNSS