Telebongo

Telebongo

Share

Karibu Tuongee Filamu!

10/12/2025

Hizi ni filamu nzuri za Bollywood ambazo haziongelewi sana. Ukipata wasaa zitazame, uta-enjoy mno.

09/12/2025

08/12/2025

Sharmila Tagore ni mwigizaji mashuhuri wa India kutoka kwenye ukoo wa kifahari wa Kibengali wa Tagore.

Anajulikana kwa mchango wake wa kipekee katika filamu za Kibengali na Kihindi kuanzia Apur Sansar, Kashmir Ki Kali, Mausam, Aradhana, Amar Prem na Chupke Chupke.

Sharmila aligeuka kuwa nyota mkubwa wa Bollywood, akipata umaarufu kupitia ushirikiano wake na Rajesh Khanna na kuvunja miiko iliyokuwepo wakati huo (k**a kuvaa bikini kwenye An Evening in Paris).

Aliolewa na Mansoor Ali Khan Pataudi, Nawab kutoka Pataudi, akasilimu na kuchukua jina Ayesha Sultana.

Huyu ndiye mama wa waigizaji Saif Ali Khan na bibie Soha Ali Khan.

Leo ametimiza miaka 81.

Happy birthday to SHARMILA TAGORE.

Mambo 10 USIYOYAJUA Kuhusu Filamu Ya APOCALYPTO 30/05/2025

Itazame hii!

Mambo 10 USIYOYAJUA Kuhusu Filamu Ya APOCALYPTO Subscribe ili kupata recaps za movies kutoka sehemu mbalimbali duniani.Pia kuna historia, stori na mikasa mikali ya waigizaji, filamu na watu walio nyuma ya ...

Want your business to be the top-listed Media Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Ubungo
Dar Es Salaam