Simba Sc

Simba Sc

Share

Simba SC News

13/12/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Julius Chacha, Stanley Mahushi, Sundwa Amos

29/12/2022

Kutoka kwa Maulid kitenge.
Zinaweza zikawa ni habari njema kwetu wana Simba SC Tanzania

TETESI: Aliyekuwa kocha klabu ya Vipers SC, Roberto Oliveira raia wa Brazil huenda akaungana na mshambuliaji wake wa zamani wa Vipers SC na mshambuliaji wa sasa wa Dalian FC, Cesar Manzoki katika klabu ya Simba SC baada ya wawili hao kuhusishwa na Wekundu hao wa Msimbazi.

Kuna ripoti kuwa dili za wawili hao zimekamilika bado kutangazwa tu.

Je Oliveira na Manzoki wataungana huko Simba SC?

25/12/2022

Inonga bado yupo sana 𝐌𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀𝐙𝐈 🦁
Waliokuwa wanasema anaenda kwa wale wanaowaliza majirani wabishe na hili, hawezi kutoka kwenye klabu kubwa aende kwenye klabu ndogo k**a hiyo

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam