Azania Post
Online Newswire
05/12/2019
JOSE MOURINHO HOI!:
TIMU ya Man united chini ya Ole Gunner Solskjaer imeibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Tottenham Spurs ya Jose Mourinho.
Mechi hiyo imepingwa usiku wa kuamkia Desemba 5, 2019 katika uwanja wa Old Trafford jijini Manchester nchini Uingereza.
Wengi waliamini kuwa Spurs ingeshinda katika mechi hiyo kutokana na mwenendo wa kusuasua wa Man United lakini hali ikawa tofauti na kupelekea kocha mbwatukaji na mwenye vijembe vingi Mourinho kutuliza mzuka wake huo.
Man united ilijiakikishia kupata pointi tatu muhimu kufuatia magoli ya yaliyofungwa na mshambuliaji asiyekuwa na ‘kosistenti’ Marcus Rashford kunako dakika ya 6 ya mchezo kabla ya dakika 48 kufunga la pili kwa mkwaju wa penati.
Dele Alli wa Spurs alifunga goli la kufuatia machozi kunako dakika ya 38.
Msimamo wa ligi baada ya mechi za jana usiku:
Msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu vifurushi vipya vya Bima ya Afya nchini vinavyotolewa kupitia NHIF
29/11/2019
http://www.azaniapost.com/habari-maalum/magazeti-ya-tanzania-leo-novemba-29-2019-2-h24657.html
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 29, 2019 Magazeti ya Tanzania leo Novemba 29, 2019 29 November 2019 Friday 06:10 Magazeti ya Tanzania leo Novemba 29, 2019 Updated: 29.11.2019 06:17
Click here to claim your Sponsored Listing.