AdBox
AI Social Media Marketing Management and Automation for SMEs, Corporate and Companies
05/02/2024
Wiki iliyopita tuliyembelewa na viongozi wa chama cha wafugaji Tanzania. Kinachowakilisha wafugaji wote nchini zaidi ya 4Million. Guess what, wote wanataka mfumo wa ufanye kazi kwenye mifugo. I guess we might have mifugohub but not now...First things first.
Karibuni kwenye safari mpya ya
03/01/2024
MazaoHub tumekabidhiwa tani 10,000 za mahindi kutoka kwa wakulima zinazotakiwa kuuzwa ili kurudisha mikopo kwa benki. Ili msimu mwingine wakope tena na kukua zaidi. Any leads tuuze huu mzigo? Manake tunapata majaribu ya kuwa na kiwanda but kwasasa hapana hapana.
Una ushauri wowote hapa?
Nimemaliza Mentorship Box..
Kila mwaka , huwa nachukua watu 5 kwenye mentorship box. Kwasababu wapi wawili ambao waliingia mwaka Jana na hatujamalizana nao..
Nitaongeza watatu ambao tunaanza nao mwaka huu.
Kuna mambo makuu 6 lazima tufanye kwenye mentorship box..
TAFITI ZA KIBIASHARA, FURSA NA UWEKEZAJI
Kukupa tafiti za Fursa na biashara inayokufaa au kukusaidia katika biashara yako.
Ili uongezeke katika Uwekezaji, Masoko, Mauzo, Fedha nk…
NAMNA YA KUPATA MITAJI NA WAWEKEZAJI.
Hii ikiwa ni pamoja na documents zote za kutafutia mitaji k**a proposals, pitch decks na documents nyingine na hata contacts za wawekezaji kadhaa ikiwa ni pamoja na kuona namna biashara yako inaweza kusimama ili iwekezeke.
KUKUWEZESHA KUUZA NA KUKUZA MAUZO.
Namna unavyoweza kuongeza mauzo kwenye biashara yako, namna unavyoweza kutawala soko lako na kukusanya wateja...nk
KUCHUKUA HATUA.
K**a ni muoga wa kuchukua hatua na kufanya Kwa ukubwa katika biashara au project yako.
KUJENGA MIFUMO YA BIASHARA YAKO.
Hii inakuwezesha kusimamisha na kuendeleza biashara kubwa itakayoishi hata pale ambapo haupo Ikiwa ni pamoja na kukujengea mfumo mzuri kibiashara . Kupata partners sahihi kwenye biashara yako na hata mradi wako...na hata kwenye kampuni yako.
KUAJIRI WATU SAHIHI NA PARTNERS SAHIHI.
Kukuelekeza na kukuunganisha na watu sahihi au kujifunza namna unaweza kuajiri na kuwaongoza watu kwenye kampuni yako kubwa.
LAKINI pia kujenga ;
a) Passive Mode
Hii ni session ya kupigiwa simu, maandishi, video, Google meet, sauti, audio na vitabu.
…
b) Practice Mode.
Katika session hii ni kwamba, tofauti na wengine wanavyofanya kwenye masomo yao, huwa wanaishia hatua ya kwanza. Mimi naenda zaidi. Hii ni mentorship ya tofauti. Kila mwanafunzi lazima azame kiundani kupitia hatua ya kwanza, kuhusu sekta yake, wengine tayari wana biashara zao…hivyo kila mtu lazima afanye kwa vitendo. Nitakuwa na muda wa kujua nani amefanya nini kulingana na biashara au fursa yake. Amefikia KPI au la. Amekwama wapi na anahitaji msaada gani nk.
wapi na tunashauriana nini kifanyike…hapa ni kila mmoja ..hakuna atakayebaki. Inawezekana biashara yako imekwama mahali tutakaa pamoja na kushauriana kila mmoja. Kuhusu mitaji, kila mmoja lazima tuhakikishe anajua kuomba mitaji, na awe na business plan pamoja na pitch deck na kila mmoja atajifunza na kuanza kuomba kwa wawekezaji, kwahiyo ni kila siku ni madarasa
c) Active Mode. Hapa ni session ambayo tunaenda mbali zaidi ya Practice Mode. Hapa nataka kila mmoja aweke Malengo ya mwezi na tuhakikishe ameyafikia. K**a ni mapato ya million 50 Kwa mwezi basi itokee.
Tutaangalia trends zote kwenye kila sekta , kulingana na sekta. Kuhakikisha wots tunaenda kulingana na trends
1. TRENDi YA MABADILIKO YA TABIA NCHI YAANI CLIMATE CHANGE TRENDS. Wajasiriamali wengi kwa Afrika bado hawajaamka kuendana na trendi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Watanzania wengi bado hawajajua kwamba hata mitaji mingi ya pesa za bure inayotolewa na mataifa au makampuni ya kimataifa inapendelea zaidi wale wanaofanya biashara kwa kuangalia mabadiliko ya hali ya hewa. Mentor wangu mwenyewe aliniambia, Tenganamba angalia k**a unaweza kuifanya biashara yako iendane na trends zinazoendelea duniani ili upate grants, yaani free money. Matunda yameshaanza kuonekana. Dunia inakokwenda si kule tulikotoka. Kuna viwanda vinavyozalisha hewa mbaya wanatafutwa wafanyabiashara wenye njia mbadala na mitaji ipo, kuna uchafuzi wa mazingira, wanatafutwa wafanyabiashara watakaokuja na majibu ya kufanya biashara zinazosafisha mazingira, yaani kuna mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na fursa nyingi sana zinazozaliwa kupitia trend hii… Unafahamu kuhusu fursa ya kulima magugu bahari yaa sea w**d? Unajua sea w**d zinatumika kuzalisha bidhaa gani? Unajua Zanzibara kuna watu wametajirika kupitia Sea W**d? Unajua Bakhresa akiwa mdogo alianzia biashara ya kuuza vitu vya baharini ikiwa ni pamoja na sea w**d ..hapo akiwa mdogo sana. Kuna vikombe vya plastic ambavyo degradable vinazalishwa na sea w**d nitakuonyesha namna ya kufanya ndani ya mentorship lakini kwa wale ambao wapo au watapendelea fursa hii, nitakupa watu wa kuwasiliana nao na hata kuwatembelea au kuungana nao kwa Zanzibar na sehemu nyingine Tanzania.
Hivyo basi , trend hii imezalisha fursa kwa wajanja watakaokuja na BIASHARA YA KUZALISHA VIFUNGASHIO, BIASHARA YA INAYOGUSA MAZINGIRA ikiwa ni pamoja na kuzalisha bidhaa kupitia uchafu, green building materials yaani vifaa mbalimbali vya ujenzi vinavyozuia uchafuzi au uharibifu wa mazingira na nyingine nyingi nitakuelezea kwa wewe ambaye unazama kwa sekta hii nitakupa wapi uende na nani uwasiliane naye ili ufanye kwa vitendo.. Green transportation services or logistics etc, social enterprises ikiwa ni pamoja na tree planting…hizi ni fursa zinazopewa kipaumbele kwenye mitaji ile ya bure nitakuelezea ndani ya Mentorship Box…
2. TRENDI YA PILI NI AFROCENTRISM YAANI UAFRIKA.
Kumekuwa na trendi kubwa ya uafrika. Yaani kuna wateja wananunua vitu kwasababu ya uafrika, yaani vimebeba uzalendo wa kiafrika. Nitakupa mfano wa dada mmoja ambaye anatengeneza High end interior design yaani anazalisha interior design za kiafrika zinazouzwa kwa bei kubwa sana, anazalisha vifaa vya mambo vyenye uafrika na kuuza kwa bei kubwa, anazalisha fenicha za kiafrika, wengine wanazalisha milango ya kiafrika, wengine wanazalisha vitanda vya kiafrika, wengine wanajenga nyumba zenye mvuto wa kiafrika, wengine wanazalisha nguo zenye UAFRIKA, kuna wengine wanazalisha vifungashio vyenye mvuto wa kiafrika. Yaani nawajua mpaka wanafanya export ya Chai Iringa kwa mvuto wa KIAFRIKA.
Hapa kuna fursa za kufa mtu. Yaani ni balaa. Kwa wale watakaotaka kuzama hapa wataniambia lakini nitajua kulingana na mahitaji mtakayotuma inbox, nitajua huyu anatakiwa kujifunza nini na kufanya nini..
Trends nyingine kuanzia KULA KIAFYA NA LIFESTYLE yaani Health Eating and Lifestyle na nyingine saba tutazisoma ikiwa ni pamoja na Fursa zake zinazotokana na trends hizo na namna ya kufanya kwenye biashara yako kuendana na trends hizo tutashirikiana kwa ukaribu sana.
NDANI YA MENTORSHIP NI WATU WATATU TU WANAHITAJIKA. MANAKE WAWILI WAPO. NA MENTORSHIP ITAISHA DECEMBER 2024.
Nicheki WhatsApp 0655973248 kwa fursa hiyo..
MazaoHub Precision Agriculture Inc.
www.mazaohub.com
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
255