Manyara Sports Management
Manyara Sports management is full service Athlete Management & Marketing agency based in DaresSalaam
29/11/2023
CAF CONFEDERATION STANDING 📊…
✍️Baada ya Mechi za mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika na hapo inayoonyesha ni misimamo ya makundi yote manne…
✍️Sasa tunasubir mechi za Mko ndo wa pili zitakazopigwa wiki ijayo kwenye viwanja mbalimbali..
✍️Usm Alger wameanza kwa kishindo ikumbukwe kua Klabu hiyo Ndio Bingwa mtetezi wa kombe hilo baada Ya kucheza Fainali na Klabu ya Yanga kutoka Tanzania na Kuwafunga huko Algeria….
✍️Sasa je Watachukua tena?..au bado mapema kusema hivyo juu yao?
✍️Dondosha Coment yako hapo chini ili tuweze kushare mawazo….
Manyara Sports Management CAF champions league & Confederation Cup
07/11/2023
✍️Takwimu 📊 za aliyekua kichwa wa Simba Robertinho kuanzia msimu 2022/2023-2023/2024…
01/11/2023
CAF AWARDS 2023….📊🥇..
✍️ Shirikisho la Mpira Barani Afrika (CAF) imetangaza kinyang’anyiro cha Tuzo ya Klabu Bora ya wanaume kwa Mwaka 2023…
✍️Na Kutoka TANZANIA 🇹🇿 Klabu ya imewekwa kwenye kinyang’anyiro hicho huku ikichuana na klabu K**a Mamelodi,Al AHLY,Wydad,Raja CA, na nyinginezo..
✍️Je unaipa klabu ya Yanga Asilimia ngapi kwenye Tuzo hizo?….
Manyara Sports Management Young Africans Sports Club
Click here to claim your Sponsored Listing.