JamboMail
We remains the trusted authority at the center of breaking entertainment news.
15/07/2026
Ikiwa leo ni birthday ya Paula akitimiza umri wa miaka 24, mume wake Marioo amemuandikia ujumbe ufuatao.
"Happy Birthday, mke wangu. Leo ni siku ya kipekee kwa sababu ndiyo siku ambayo mtu wa thamani zaidi katika maisha yangu alizaliwa.
"Nakushukuru kwa upendo wako, furaha unayonipa, na namna unavyoufanya moyo wangu utabasamu kila siku.
"Nakutakia afya njema, mafanikio makubwa, amani ya moyo, na kila jambo jema unaloliombea litimie.
"Naomba Mungu akuongoze, akulinde, na akupe maisha marefu yenye baraka nyingi.
"Nakupenda kuliko maneno yanavyoweza kueleza, na ninafurahia kuwa sehemu ya maisha yako.
"Furahia siku yako ya kuzaliwa, Malkia wa moyo wangu. Happy Birthday once again! Paula," ameandika Marioo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Website
Address
Dar Es Salaam