Jogging Updates
ULIPO TUPO
KWA HABARI NA MATUKIO YOTE YA MICHEZO WASILIANA NASI
0716464604 / 0682097193
03/11/2024
BONANZA BONANZA BONANZA
_________________________________
TAARIFA KWA UMMA NA WANA JOGGING
Wakali wa ''A'' wana wahabarisha wapenda Michezo na wapenda Jogger wote kutoka Viunga Mbalimbali vya ndani na nje ya mkoa wa Dar es Salaam kuwa December sasa ni yao Rasmi tarehe 15 Dec 2024, Wanatarajia Kufanya Bonge la Bonanza Wewe Mdau na mpenda mazoezi hili si la kukosa, Unaambiwa Hivi na
Instagram, Youtube
02/11/2024
Hongera Sana Kaka 0 Mwakiposa Afisa Habari 'A' Kwa Kuongeza Umri Mungu akufanyie Wepesi kwenye Harakati zako
BONANZA BONANZA
Kituo kinachofuata ni 'A' DECEMBER
Kwa wale wote wanaoamini hakuna haja ya Uthibitisho ili Kuamini, Lakini kwa Wale wote wasioamini hakuna Uthibitisho utakaowezekana ili Kuamini.
Hakuana haja ya Kumshikia Mtu Bakora ila wakati ukifika utakiri mwenyewe kwa Muda wako.
Ndugu Swalihina Ally katibu wa Dodoma fitness jogging Akihamasisha kwenye mkutano wa Wanahabari na Maafisa Habari ulioandaliwa na Amkafitness Club Kuelekea kwenye Siku ya Bonanza lao Tarehe 24 Nov 2024 Kwenye Viwanja vya Mwembeyanga Temeke Dar es Salaam.
ENDELEA KUFUATILIA PAGE ZETU KWA UPDATES ZAIDI
Facebook
Instagram
Youtube JOGGING UPDATES
17/10/2024
TAARIFA MUHIMU KUTOKA Amkafitness Club
_________________________________________
Rasmi leo Uongozi wa Amkafitness Club Umemteua Mwenyekiti wa Iringa Jogging Club, Ndugu Sam Sugar Kuwa Balozi wa Bonanza hilo la Amkafitness Club Linalotarajiwa Kufanyika Tarehe 24 Nov 2024 Viwanja vya Temeke Mwembeyanga Jijini Dar es Salaam.
ENDELEA KUWA NASI;
Ili kukusogezea Habari Tofauti tofauti na Updates Mbalimbali
FOLLOW PAGE ZETU
FACEBOOK
INSTAGRAM
YOUTUBE JOGGING UPDATES
Familia ya Onestrongfamily Unity yazidi Kuimalisha Umoja wao na kuzidi kutanua Mbawa zao kwenye Mshik**ano wao.
Imeongeza mwanafamilia Mpya na Kuitambulisha Rasmi kwenye Umoja wa Wanafamilia ya Onestrongfamily Unity Kilabu Hicho kilichotambulishwa kwenye Maskani ya Amkafitness Club Temeke Dar es Salaam, ni Kilabu yenye Maskani yake Mkoani Morogoro kimejiunga Rasmi kwenye Familia ya Onestrongfamily Unity na kukamilisha Vilabu Saba [7] kwenye Umoja huo
Kwa Updates zaidi Tufollow
Facebook
Instagram
Youtube Jogging Updates
BONANZA Amkafitness Club 24 Nov 2024
Kadri siku zinavyokwenda tunataka kufanya jambo liwe Jipya na liwe k**a Muongozo wa Mchezo wetu huu wa Jogging kwa sasa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mchezo wa Jogging Wilaya ya Temeke [ TEJA ] Ndugu Rashidi Pazi Mvogogo akihamasisha Wanahabari na Maafisa Habari wa Vilabu tofauti tofauti kuhakikisha wanapaza Sauti juu ya Bonanza kubwa lililoandaliwa na Amkafitness Club linalotarajiwa Kufanyika Tarehe 24 Nov 2024 Katika Viwanja vya Temeke Mwembeyanga Jijini Dar es Salaam
Endelea kuwa na sisi karibu ili kukujuza Habari Tofauti tofauti
FOLLOW
Facbook
Instagram
Youtube Jogging Updates
14/10/2024
Kuelekea Siku ya Bonanza Siku ya Tarehe 20 Oct 2024 Familia ya Inaendelea Kuhamasisha Vilabu na Wepenzi wa Mchezo wa Mbio za Pole , Kuendelea Kujipanga na Kufanya Maandalizi ya kutosha Kwa Maana Mambo yatakuwa Mengi na Michezo ya Aina Mbalimbali Ikiwemo Mpira wa Miguu kwa Vilabu vya Jogging Na Kutafutwa Miss Jogging kwa Mwaka 2024
Bonanza Kubwa na la Kihistoria Litakalofanyika Msasani Club, tarehe 20 Oct 2024 Wapenzi wa Michezo Tujitokeze kwa Wingi Bila Kukosa
Tuendelee kuwa Karibu na Page zetu kwa Updates Tofauti tofauti.
- FACEBOOK
- INSTAGRAM
UPDATES - YOUTUBE
13/10/2024
Pole Sana Dada yetu ZUBEDA MUSA kwa Msiba mzito wa Mzazi wako Mungu Akutie Nguvu na Imani kwenye Wakati huu Mgumu Uyo ni Mwanachama wa Amefiwa na Baba yake Mzazi Msiba Uko Mbagala Mission
13/10/2024
Baadhi ya Picha za Matukio Muda huu kwenye Makaburi ya Mwanamtoti Mbagala Kwenye Mazishi ya Baba Mzazi wa Mwanachama wa Zubeda Musa
13/10/2024
Baadhi ya Matukio na Hali ya Mazingira yalivyo Msibani Muda huu
13/10/2024
Baadhi ya Viongozi kutoka kwenye Vilabu Mbalimbali vya Jogging waliojitokeza kwenye Msiba wa Baba Mzazi wa Zubeda Musa ambae ni Mwanachama wa
10/10/2024
TAARIFA MUHIMU
Amkafitness Club Wanawaalika Viongozi wote wa Idara ya Habari kutoka kwenye Vilabu vyao vya Jogging tofauti tofauti Kushiriki kwenye Jambo lao na Hii ni Muhimu Sio ya Kukosa kwa Wana Habari wote wa Vilabu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam