Fifyproducts.com
KARIBU FIFY BEAUTY SALON ILIYOPO TABATA-SEGEREA.TUNASUKA NYWELE MITINDO YOTE,HAIR TREATMENT NA MAKEUP.GHARAMA ZETU NI NAFUU.
Karibu chuo cha urembo Fifÿ kilichopo tabata segerea, tunafundisha ususi mitindo yote, makeup na ushonaji.Chuo chetu kipo katika mazingira mazuri na tulivu,kuna waalimu waliobobea katika fani hizo.Mafunzo yote ni kwa vitendo hata k**a hujui tutakufundisha.Utapata fursa ya kutafutiwa kazi baada ya kumaliza kozi na utafundishwa kutengeneza shampoo ya nywele bure.Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni kwetu kwa Tsh 7000 na whatsapp(bure)kuna kozi za kuanzia mwezi mmoja hadi miezi 6.Ada zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu.Kwa maelezo zaidi tupigie 0718667088/whatsapp 0767242656
Karibu chuo cha urembo Fify upate ujuzi kutoka kwa waalimu waliobobea katika fani ya ususi, makeup na ushonaji.Chuo kinapatikana Tabata Segerea ada zetu ni nafuu sana kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0767242656.
Fomu zinapatikana chuoni na online
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 09:00 - 18:00 |
| Wednesday | 09:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 18:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 18:00 |