DataFasta
Helping businesses thrive with reliable internet fast devices & budget friendly bundle.Providing reliable service for over 3 years DSA @yastanzania
πDodoma
Sell conventional
Recap πͺ
Cc Vodacom Tanzania
π« Sio kila router inaweza kuhimili matumizi ya familia nzima, office nzima, au biashara yakoβ¦ lakini hii inaweza
Kutoka kwenye signal dhaifu hadi internet yenye nguvu kila kona ya nyumba , ofisi & sehemu ya biashara π πΆ
TOPLINK 4G Router Pro3 inakupa:
β‘ Speed ya kisasa ya Wi-Fi 6
π‘ Coverage kubwa zaidii
π Battery kubwa ya kudumu
π² Devices 32 connected smoothly
π‘ Nguvu ya Mawimbi (Signal Coverage)
π Antena 4 zenye nguvu (8dBi) β zimeundwa kusambaza Wi-Fi mbali zaidi na kwa nguvu zaidi
Faida zake
πΆ Mawimbi kufika maeneo mengi zaidi
π§± Kupenya vizuri kupitia kuta
π Coverage imara ndani ya nyumba yote
π« Kuondoa maeneo yasiyo na signal (dead zones)
π Hadi mita 150M za coverage yenye nguvu na uthabiti mkubwa
π Betri Kubwa ya Akiba (Backup Battery)
π Betri ya ndani ya 5000mAh β nguvu ya kudumu muda mrefu
β‘ Internet inaendelea hata umeme ukikatika
β³ Hadi saa 12+ za matumizi bila kuchaji
Inafaa kwa:
π Safari za gari
π Safari ndefu
π Matumizi ya nje (outdoor)
β Hali za dharura unapohitaji internet ya haraka na ya kuaminika
π Ports & Wired Connectivity
π§ LAN & WAN Support
Flexible networking for advanced users.
πΉ 1 WAN Port
β‘ Works as router input
πΉ 4 LAN Ports
β‘ Connect PCs, switches & CCTV systems directly
Perfect for stable wired internet connections
OFA MAALUMU: Tsh 240,000 unapata kifaa pamoja na ofa ya mwezi wa kwanza (unlimited) speed ya 30Mbps
Count on us we deliver
Call us normal / WhatsApp
+255 67 897 0849
Datafasta kasi halisi bila mipaka
25/05/2026
Kwa wateja wa mkoani (nje ya Dar es salaam)
Tunatengeneza mazingira rafiki kwa pande zote mbili kwako mteja na kwetu sisi
Option ya kwanza k**a una mtu yoyote Dar es salaam anaweza kuja dukani πLufungira na kuhakiki (kukagua device uliyo chagua na hikakufikia ulipo
Option ya pili mteja anaweza kupendekeza
kampuni husika ya usafirishaji (Usiri ) katika hatua ya mwisho baada ya kupokea receipt ya mzigo (utafanya malipo ya kifaa husika )
Option ya Tatu mteja anafanya malipo direct kisha ofisi itashughulikia taratibu zote za kutuma mzigo
Tunakufikia popote ulipo umbali (distance) sio sababu ya wewe kukosa huduma (device ) bora
Count on us we deliver
Call us normal / WhatsApp
+255678970849
Datafasta kasi halisi bila mipaka
HP Portable Wi-Fi
Model: HP-MF20
Device Specifications
π‘ Network & Connectivity
β’ LTE Mobile Wi-Fi Router (Plug & Play β Insert SIM & Power On)
β’ π Download Speed hadi 150Mbps (4G LTE Cat4)
β’ π² Connect hadi 16 devices simultaneously
π Support all networks
β’ πΆ Wi-Fi 6 Technology kwa speed na stability zaidi
π Battery & Power
β’ π 2100mAh High-Capacity Battery
β’ β³ Up to 9+ hours of continuous usage
π₯οΈ Display
β’ πΊ 2.0" High-Resolution Screen
β’ πΆ Easy monitoring ya signal, battery & connection status
OFA MAALUMU; Kwa Tsh 120,000 tu, unapata kifaa pamoja na Unlimited Internet ya mwezi wa kwanza kwa kasi ya hadi
10Mbps
Stay connected anytime, anywhereππΆ
Kipotabo kinabebeka popote ; safari, kazi, nyumbani πΌππ
Wasiliana nasi βοΈ0678970849
Datafasta kasi halisi bila mipaka
Delivery π¦ popote ulipo
YAS 5G Router kifaa kilichoundwa kwa utendaji wa kiwango cha juu, kikikupa hadi 300Mbps ya muunganisho thabiti, wa haraka, na usio na mipaka.
Fanya Kila Kitu Bila Kizuizi
Downloads & uploads za kasi ya juu bila kusubiri
Streaming ya 4K Ultra HD bila buffering
Gaming bila lag β performance ya ushindani
Remote work & biashara mtandaoni kwa ufanisi wa hali ya juu
Ubora wa Kifaa (Engineered for Performance)
πΉ Huunganisha hadi vifaa 64 kwa wakati mmoja
πΉ Coverage imara hadi mita 100
πΉ Ports 5 za Ethernet kwa kasi ya ziada
πΉ Mawimbi thabiti & kasi endelevu muda wote
BEI YA KIFAA
π° Tsh 250,000
Package π¦
10Mbps : Tsh 70,000
20Mbps : Tsh 100,000
50Mbps : Tsh 150,000
100Mbps : Tsh 200,000
200Mbps : Tsh 400,000
πHUDUMA YA UNLIMITED INTERNET KWENYE LAINI YA
YAS
Tuna wezesha huduma ya unlimited kwenye laini ya YAS, inayoweza kutumika kwenye kifaa chochote. (simu, router, moderm & mΔ±-Fi)
β‘οΈKujiunga ni rahisi chagua package unayohitaji kulingana na matumizi yako kisha malipo ya package husika yana fanyika direct kwenda Yas
Wasiliana nasi βοΈ0678970849
Datafasta kasi halisi bila mipaka
Delivery π¦ popote ulipo
Kifaa chepesi na kinachobebeka kirahisi, kikikupa uhakika wa internet imara popote ulipo kwa kasi ya juu zaid
Pata uhuru wa intaneti popote ulipo na Wireless LTE Mobile WiFi . kifaa kidogo chenye nguvu kinachokupa kasi hadi 150Mbps β‘ na kuunganisha hadi vifaa 12 kwa wakati mmoja π±π»
Battery πyenye 2200mAh inayodumu hadi saa 6
Offer ya kifaa pamoja na bundle la unlimited mwezi mzima kwa gharama ya Tsh 120,000
Wasiliana nasi βοΈ +255 67 897 0849
In every step you take, your world stays connected.
NOKIA FastMile 5G Gateway
Next-Level Home & Office Broadband Connectivity
ABOUT THE DEVICE
Powerful 5G Wi-Fi Router Built for Speed & Stability
Experience next-level internet with a router designed for homes, offices, and businesses that demand fast, reliable connection every day.
PERFORMANCE & SPEED
5G + 4G Support β Works on both networks for maximum coverage
πΆ AX3600 Wi-Fi 6 β Ultra-fast speeds for streaming, gaming & work
π₯ MU-MIMO Technology β Connect multiple devices without slowing down
π PORTS & CONNECTIONS
π 3x Gigabit LAN Ports β Connect TV, PC, CCTV & more
βοΈ RJ-11 Voice Port β Make calls directly from the router
πΎ USB 3.0 Port β Share files or connect external devices
π SECURITY YOU CAN TRUST
π‘οΈ Advanced Wi-Fi protection:
WPA3 (latest security standard)
WPA2 & WPA support
Keeps your network safe from unauthorized users
π‘ CONNECTIVITY THAT NEVER FAILS
π Multi-Band 5G & 4G Support
Seamlessly connects across multiple network bands for wider coverage and better performance
β‘ Smart Network Switching
Automatically selects the strongest and fastest signal available no interruptions
π₯ Connect Up to 256 Devices
Perfect for homes, offices, and businesses with heavy device usage
πΆ Enhanced Signal Strength
Delivers a strong, stable connection even in crowded or high-traffic areas
Device price TSH 550,000
Vodacom unlimited
90,000= 30Mbps
150,000 = 50Mbps
250,000 = 100Mbps
400,000 = 200Mbps
600,000 = 350Mbps
Yas unlimited package plan
100,000 = 20Mbps
150,000 = 50Mbps
200,000 = 100Mbps
400,000 = 400Mbps
Nokia FastMile 5G Gateway β Kasi. Uimara. Uhakika.
Wasiliana nasi βοΈ +255 67 897 0849
ZTE K12 ROUTER
Router yenye kasi zaidi, uimara, na ufanisi kwa matumizi ya nyumbani π au ofisini π’
Router yenye Wi-Fi 6 iliyotengenezwa kwa Speed β‘, Uthabiti π & Mobility π
Ikiwa na teknolojia ya LTE Cat 4 pamoja na Wi-Fi 6 (802.11ax), ZTE K12 inakupa:
β
Muunganisho wa haraka zaidi β‘
β
Wide coverage
β
Utendaji imara kwa vifaa hadi 32 kwa wakati mmoja π₯π±π»
KEY SPECS
π‘ 4G LTE Speeds up to 150Mbps
π Wi-Fi 6 β Stronger, Faster & Smarter
π Battery 2600mAh β hadi masaa 8 ya matumizi
βοΈ RJ11 Port for Voice Calls
π 4 LAN/WAN Ports
πΆ Dual External Antennas β Wide Coverage
OFa MAALUMU
Kwa Tsh 215,000 unapata:
π ZTE K12 Router
π Bundle la Unlimited Internet speed ya 20Mbps
π Stay connected without limits β nyumbani, ofisini popote ulipo.
Wasiliana nasi +255 67 897 0849
πLufungiraβ Mwenge
MobiFi
Mobility and portability
OFA MAALUMU; Kwa Tsh 120,000 tu, unapata kifaa pamoja na Unlimited Internet ya mwezi wa kwanza kwa kasi ya hadi 10Mbps
π‘ About Device
π Network & Connectivity
πΉ LTE Mobile Wi-Fi Router *(Plug & Play Insert SIM & Power On)
β‘ Download Speed: Up to 150Mbps (4G LTE Cat4)
π² Connect up to 10 devices simultaneously
π WPS One-Button Connection for quick & secure pairing
π Battery & Power
π 2100mAh High-Capacity Battery
β³ Up to 9+ hours of continuous usage
π₯ Display
πΊ 2.0" High-Resolution Screen
πΆ Easy monitoring of signal, battery & connection status
πLufungira
Call us +255 67 897 0849
Tunafanya delivery π¦
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam