AFYA

AFYA

Share

Tunatoa dua na tiba asili
Pesa za majini
Biashara
kufuta kesi mahak**ani
Utajiri
Kurudisha mali zi AFYA TIBA YA KISUNA NA DUA. MTABIBU SULTAN MITIMINGI

21/04/2026

Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh

Naaaam ndugu zangu vipenz vyangu

Darasa La leo litahusu PETE ya Bahati na yenye Maajabu Makubwa wallah si kitu cha mchezo Na khabar hii ni kubwa k**a ambavyo darsa zangu zinavyokuwa nakwenda kuielezea pete hii ambayo unaiona hapo kwenye picha kidole cha kwanza upande wa kulia.

Matabibu wengi wamezielezea pete na matumiz yake mbali mbali na darsa hili nalileta kwa upana na ukubwa wake ili ufaham faida ama ubora wa ww msomaji kuipata pete hii kutokana habar ya hii pete

Anaeleza Mwana wa chuoni Ambae yeye alikuwa Mjomba wa nabii suleyman ambae kwa jina Anaitwa ASSIFU BIN BARKHIYA na aliyashudia mambo makubwa katika maisha ya nabii suleyman na tunafaham nabii huyo alimiliki hazina kubwa ya mapambo madini vito na mambo mbali mbali mfano wa hayo na zama hizo yalidhihir mambo makubwa na ndipo watu wakaanza kufaham elimu ya mawe yaan hiz pete na vito mbali mbali lakin leo twende sambamba nikupe faida hii ya pete ya fedha yenye kito cheupe mfano wa hiyo nlioelezea hapo huyo bwana mkubwa ASSIFU BIN BARKHIYA matabibu wa kitabu hatuna shaka na khabar zake tumemwamin 💯kwa💯 kwanza ni mtu mwenye khofu ya mungu lakin alipewa barka na sharafa kubwa kuwa ndio mtu wa karibu wa nabii suleyman na kamsaidia sana nabii suleyman wasomi wa sira hapo watanielewa zaid naenda moja kwa moja katika badar yangu ya unajimu hii pete ukiiangalia inamahusiano ya sayar ya pili inayoitwa UTTWARID ambayo anatawala malaika MIKAIL ambayo ni sayar ilioshika nyota mbili zenye asili mbili kubwa nyota ambayo ni mapacha hiyo ni nyota ya 3 katika nyota 12 lakin pia sayar hiyo inashikilia tena nyota ya 6 ambayo ni nyota ya mashuke yenye asili ya udongo

KAZI YA PETE HII

Ikiwa mtu anataka kuwa mtu katika watu ama anataka utukufu ama kupendwa kusikilizwa kuogopwa awe mwenye kauli au akawa anataka Mali Au akawa anataka viumbe wa kibinadamu na viumbe wa kimajin wamtwii bhas apate pete hii na akiwa mtu anapete hii kila jini mwema mchamungu atakuwa karibu yake katika mazingira yoyote ispokuwa katika upuuzi na ww ambae utaipata pete hii utayaona maajabu makubwa sana ambayo ulikuwa ukiyaskiaga kwamba kuna pete zinamaajabu bhas ni kweli zipo ila ukiwa nayo na huyaoni maajabu hayo bhas faham hujapata pete sahihi au hiyo pete haijakamilika

Hii sio pete tu unakwenda kununua inataratibu zake za kitabibu na nyakat yake pamoja na siku yake pia kwa mwanamke na mwanamke imegawanyika muda na siku hapo katika picha hiyo ambayo unaiona kidole cha kulia ndio naikusudia na haijakamilika hapo inatakiwa kunakshiwa tena pete wallah binafsi naikubali sana hii pete pete itiwa nguvu kwa kunakshiwa majina mawili JINA LA MALAIKA mmoja wa khattar sana na mwenye nguvu sana lakin pia jina la kiumbe mmoja ambae yeye anaishi chini ya Ardhi ndio makazi yake huko na malaika hiyo na kiumbe huyo wao wanawafuasi wao katika kumtwii Allah na ww ukaipata pete hii bhas tambua wafuasi wale lazima wakutwii ambao wao wapo katika tabaka la RUHANIYAT yaaan wao ni Maruhan wema ambao hutoweza kuipata idadi yao kwa wingi wao ispokuwa idadi hiyo anaijua MWENYEZ MUNGU PEKEAKE

Kuipata pete hii wasiliana Nami ndipo uipate na kuik**alishia process zake huwez jutia kuipata pete utajilaumu tu kwann alkhaji alichelewa kukupa darsa hili na ww kuchelewa kuipata pete hii yenye siri kubwa na sijamaliza kuilezea faida na sir yake na utukufu wa pete hii walivaa mitume wamevaa wachamungu tunavaa sisi

Naaam Imetolewa na MTABIBU SULTANI MITIMINGI

+255672558869

Call
+255753266139 SULTAN MITIMINGI TV SultanMitimingiTV AFYA

TikTok · Sultan mitimingi tv 16/02/2025

TikTok · Sultan mitimingi tv Check out Sultan mitimingi tv’s post.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam