AFYA JAMII
mungu mwema
02/09/2021
MWANAUME FAHAMU USICHOKIJUA KUHUSU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.
NA
KWANINI WENGI HAWAPONI
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
ni neno la jumla lenye mjumuisho wa mambo mengi ambayo yamegawanyika katika sehem MBALI MBALI
1. Hamu ya tendo la ndoa
2. Kusimama kwa uume barabbara k**a kipande cha mti au msumari)
3. Stamina kiasi cha kukupelekea kufurahia tendo
4. Pumzi
5. Uwezo wa kurudia tendo
6. Wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda
*Kwa lugha nyepesi Hii ndio maana ya neno nguvu za kiume*
*HIVYO BASI TUNAPOONGELEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUNAMAANISHA KUWA NDANI YA MWILI WAKO KUNA VITU HAVIFANYI KAZI VIZURI LABDA NI INI , FIGO , TEZI DUME LIMETANUKA , AU HOMONI HAZIJA WIANA HAPA SASA NDIPO HUTOKEA NENO NA KITENDO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*
JIJUE JITAMBUE HIZI NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
1. kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Uume kusimama kwa ulegevu, kusinyaa na kurudi ndani AU KUTOWEZA KUSIMAMISHA KABISA
3. Kuwahi kufika kileleni
4. Kuchelewa sana kufika au kutofika kabisa mshindo
5. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada
6. Kukosa pumzi hivyo hupelekea kusimamisha zoezi Mara kwa Mara
7. Kukosa uchangamfu wa mwili katika utendaji .
8. Kuchoka sana baada ya tendo na hata kuskia kichefchef au kuskia usingizi MZITO SANA MARA TU UMALIZAPO ..
9. KUSHINDWA KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA MOJA
Sasa KOSA kubwa wanalolifanya wanaume wengi TANZANIA NA NJE ni kuanza kutafuta suluhisho la dawa za nguvu za kiume na kuzibugia bila kuangalia chanzo, inatakiwa kutibiwa chanzo cha tatizo sio matokeo ya tatizo ... na hamshangai dawa hiyo inaweza kumtibu mmoja na mwengine akasema haifanyi kazi ?? Unajua Kwanini... vyanzo vya matatizo yao ni tofauti
K**A UKO SERIOUS KARIBU _WHATSAPP_. +255- 756031035 tuma ujumbe AFYA JAMII kwa maelezo zaidi au piga no #+255-759359698📞
Click here to claim your Sponsored Listing.