Hkb Protection

Hkb Protection

Share

H. K.

H K B SPORTS 29/07/2025

https://www.youtube.com/

H K B SPORTS H.K.B Protection inahusika na masuala ya michezo ikiwemo kuimarisha ulinzi viwanjani na sehemu za starehe

25/07/2025

Askari wa Jeshi la HKB Protection, leo wamepata mafunzo maalumu ya namna ya kutumia huduma ya NCARD, hasa kwa wateja wanaotumia huduma hiyo kukata tiketi za kutazama mechi za mpira wa miguu.

Semina hiyo ilikuwa mahususi kwa ajili ya mchezo wa kesho kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu Yanga dhidi ya Kombaini ya Safari Lager utakaofanyika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam

24/07/2025

Baadhi ya askari wetu wakiwa katika mazoezi ya utimamu kabla ya kupangiwa majukumu ya kazi kwa siku husika

Want your business to be the top-listed Media Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address

Temeke
Dar Es Salaam