Secho Cleaner
tunatoa huduma za dawa za kusafisha sink,tiles pamoja na jiki zakutoa madowa sugu.
08/05/2026
🚽✨ Vyoo na tiles zako zinakusumbua na changamoto gani?
Ni madoa ya njano, harufu mbaya, ukungu au uchafu kugoma kutoka? 😩
Tuambie shida yako kwenye comment au DM 📩
☎️+225693204598
Tupo tayari kukupa suluhisho la kufanya choo na tiles zako zing’ae k**a mpya 🔥✨
01/05/2026
With Mandy Media Tanzania – I'm on a streak! I've been a top fan for 5 months in a row. 🎉
Usafi wa kweli unaanzia hapa! ✨
Sabuni yetu ya maji inang’arisha vyombo, nguo na nyuso mbalimbali kwa urahisi bila kuacha mabaki. Harufu nzuri, povu la kutosha na matokeo yake yanaonekana papo hapo! 🔥
Jaribu leo ujionee tofauti 💧
27/04/2026
Usafi wa kweli unaanzia hapa! ✨
Sabuni yetu ya maji inang’arisha vyombo, nguo na nyuso mbalimbali kwa urahisi bila kuacha mabaki. Harufu nzuri, povu la kutosha na matokeo yake yanaonekana papo hapo! 🔥
Jaribu leo ujionee tofauti 💧
☎️0693204598
Usafi wa kweli unaanza hapa! ✨
Ondoa uchafu mgumu, doa sugu na bakteria hatari kwa nguvu ya JIKI bora kabisa 🧼🔥
Inafanya kazi kwa haraka kwenye nguo nyeupe hata sink na tiles – matokeo yake ni kung’aa na kukata harufu vyooni!
👉 Usikubali uchafu ukushinde, chagua ubora unaoonekana!
📞 Wasiliana nasi sasa uagize yako leo
☎️0693204598
15/04/2026
Habari ya asubuhi familia yangu 💛✨
Natumai mmeamka salama na mmeanza siku kwa nguvu mpya!
Leo nawatakia siku njema yenye mafanikio, furaha na baraka tele 🙌
Usisahau… kila hatua ndogo unayochukua leo inakupeleka karibu zaidi na mafanikio yako 💪
👉 Niambie uko wapi ukisoma hii post?
👉 Na leo una plan gani ya kufanya iwe siku bora zaidi?
Nipo hapa kuwahudumia na kuwapa bidhaa bora kila siku 🤍
☎️call/whatsAp 0693204598
Weka oda yako sasa!
☎️0693204598
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
00000