Darubini

Darubini

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Darubini, Publisher, Dodoma.

11/03/2020

Maisha ya Kristo yalikuwa tofauti Sana na Maisha ya watu wengine....hakuna Jambo lolote hata K**a kingekuwa na nguvu kiasi gani,lingeweza kumuyumbisha pesa au Raha ,kusifiwa au kulaumiwa,havikuweza kumnunua au kumushawishi ili akubaliane na Tendo baya alikuwa na nguvu ya kushinda majaribu,busara ya kugudua uovu na uimara wa kusimamamia Yale anayoyaamini

Watu waovu na waishio kwa kutofuata kanuni walijaribu kumshawishi na kumuonyesha Raha ya kutenda dhambi,lakini nguvu ya kanuni ilipingana na kanuni za shetani,Kwakuwa utambuzi wake ulikuwa wakina,aliwsza kuigudua sauti ya shetani....alifurahia kutekeleza wajibu wake kwa wazazi wake na jamii yake bla kuvunja kanuni zake au kuchafuliwa na mvuto wa Maovu yaliyomzunguka pale Nazareth.

Kristo hakuyumba kamwe katika uaminifu wake kwa kanuni za Sheria ya Mungu,hakutenda kamwe Jambo lolote lililokuwa kinyume na kanuni za Baba yake
Yesu hakutaka tubahatishe hata sisi katika uchaguzi wetu kwa njia ya kupitia miongoni mwa vichochoro na njia za hatari,anatuongoza katika njia nyofu na tunapomfuata nyayo zetu hazitelezi

Inamoaaa kila mtu kuishi akiongea na Kristo kila wakati; kwani alisema"bila Mimi ninyi hamwezi kufanya lolote" inatupasa kanuni zake ziwe kanuni zetu,kwa kuwa kanuni hizi Ni ukweli wa milele,unaotangazwa katika haki,wema,rhema na upendo

Kanuni zake ndiyo mambo pekee yadumuyo katika ulimwengu wetu.
Uwe na siku njema

Want your business to be the top-listed Media Company in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dodoma
7744