Dodomafm
DODOMA FM
Is a local radio station with community content has grown to
be one of the leading radio station in central region.
Mgeni rasmi Katibu tawala sakina mbugi akiwasili kwenye uzinduzi wa vijana platform
28/05/2026
Wawakilishi kutoka UNICEF wakiongozwa na Awet Araya, SBC/RCCE Lead, akifuatana na Alice Mwiru, SBC Specialist, walifanya ziara ya kikazi na mazungumzo yenye tija katika ofisi za Dodoma FM na Mwenyekiti wa TADIO, Bw. John Baptist.
Mkutano huo ulifanyika katika makao makuu ya Dodoma FM yaliyopo Miyuji Proper, Dodoma, ambapo pande zote zilijadili umuhimu wa vyombo vya habari vya kijamii katika kuhamasisha mawasiliano ya maendeleo pamoja na kupanua maeneo ya ushirikiano kati ya UNICEF na TADIO. Aidha, mazungumzo yaligusia namna ya kuimarisha mahusiano na kuweka mazingira bora zaidi ya kazi yatakayosaidia juhudi za pamoja katika kuwahudumia Watanzania kupitia mawasiliano yenye tija.
Pande zote mbili zilisisitiza umuhimu wa redio za kijamii katika kufikisha taarifa sahihi kuhusu afya, elimu, ustawi wa mtoto na maendeleo ya jamii kwa wananchi nchini kote. Vilevile, walionesha matumaini ya kujenga ushirikiano imara utakaowanufaisha Watanzania wengi kupitia miradi na shughuli za pamoja zijazo.
24/05/2026
Matukio picha kutoka ukumbi wa mkutano jengo la mkandarasi
Sauti ya jamii
kilimo kinabenkika
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Dodoma
41106
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 17:45 |
| Tuesday | 07:00 - 17:45 |
| Wednesday | 07:00 - 17:45 |
| Thursday | 07:00 - 17:45 |
| Friday | 07:00 - 17:45 |
| Saturday | 07:00 - 17:45 |
| Sunday | 07:00 - 17:45 |