Fine Glow

Fine Glow

Share

Fine Glow is a high-quality skincare brand focused on providing natural, dermatologist-approved products that enhance skin health and radiance.

28/06/2025

Na H.O Samaio
0756890517
π‘­π’†π’Žπ’‡π’“π’†π’”π’‰ π’π’Š π’ƒπ’Šπ’…π’‰π’‚π’‚ π’šπ’‚ π’–π’”π’‚π’‡π’Š π’˜π’‚ π’”π’†π’‰π’†π’Žπ’– 𝒛𝒂 π’”π’Šπ’“π’Š π’Œπ’˜π’‚ π’˜π’‚π’π’‚π’˜π’‚π’Œπ’†, π’Šπ’π’Šπ’šπ’π’–π’π’…π’˜π’‚ π’Œπ’˜π’‚ π’‚π’‹π’Šπ’π’Š π’šπ’‚ π’Œπ’–π’…π’–π’Žπ’Šπ’”π’‰π’‚ π’–π’”π’‚π’‡π’Š, π’Œπ’–π’π’Šπ’π’…π’‚ 𝒑𝑯 π’šπ’‚ π’–π’Œπ’†, 𝒏𝒂 π’Œπ’–π’‘π’–π’π’ˆπ’–π’›π’‚ 𝒉𝒂𝒓𝒖𝒇𝒖 π’Žπ’ƒπ’‚π’šπ’‚.

Maelezo kwa ufupi na kitaalamu:

πŸ‘‰Femfresh husaidia kusafisha sehemu za siri za mwanamke – v***a (eneo la nje la uke) – bila kuvuruga kiwango cha asidi (pH), ambacho ni muhimu kwa afya ya uke. Maeneo haya yanaweza kutoa harufu mbaya kutokana na:

1. Jasho (hasa sehemu ya kinena na mapaja ya ndani)

2. Matumizi ya nguo za ndani zisizopitisha hewa

3. Uke kuwa na usawa wa bakteria usio sahihi

4. Kutokwa na uchafu wa kawaida wa uke (vaginal discharge) unaochanganyika na jasho au uchafu

5. Kutokunawa kwa usahihi baada ya kujisaidia au kipindi

πŸ’Faida kuu za Femfresh:

Huondoa harufu mbaya kwenye v***a na kinena bila kuharibu flora ya uke

Hudumisha usawa wa pH ili kuzuia maambukizi k**a fangasi na UTI

Hupunguza muwasho na msuguano unaotokana na unyevunyevu au jasho

Inafaa kwa ngozi nyeti, bila sabuni kali au kemikali zenye madhara
πŸ‘‰Ni muhimu kuelewa: uke wenyewe (ndani) hujisafisha, lakini v***a, kinena, na eneo la katikati ya mapaja yanahitaji usafi wa mara kwa mara ili kuzuia harufu na usumbufu.

10/04/2025
Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Dodoma