The APOS Academy
Shaping the future, one young mind at a time.
24/03/2026
Hapa sisi tunaamini Kila kijana anayo fursa ya kufikia malengo yake.
Kaa tayari, mwezi wa saba tutaanza mafunzo katika maeneo yafuatayo
Elimu ya Secondary kwa miaka 2
Mitihani ya FTNA (QT)
Kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha nne na cha sita
Pia tutakuwa na mafunzo ya
1. Ushonaji
2. Useremala
3. Umeme
4. Aluminum
Sambamba na hilo tutakuwa na mafunzo ya
1. Lugha ya Kichina
2. Lugha ya kiingereza
3. Mafunzo ya Ujasiriamali
4. Matumizi ya mifumo ya TRA, Nest, Brela
5. Scholarships na Fursa mbalimbali za kimataifa
22/03/2026
Karibu The APOS Academy
Mahali ambapo vijana wanajifunza, wanavumbua, na wanajenga mustakabali wao.
Ni kituo kinachotoa elimu ya Sekondari huria, mafunzo ya ufundi, mafunzo ya kidijitali na ukuzaji wa vipaji na uongozi.
Hapa hatufundishi nadharia tu — tunakuandaa kwa maisha halisi.
🫵 Jiunge nasi katika safari ya kujifunza, kubuni, na kuwa kiongozi.
👉👉Madarasa yataanza rasmi mwezi wa saba 2026💪
Chamwino Ikulu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
Dodoma
41434