Rcc Tv

Rcc Tv

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rcc Tv, Christian church, ihumwa, Dodoma.

Photos from Rcc Tv's post 19/04/2026

Asante kwa kuabudu nasi siku ya leo MUNGU akubariki sana usisahau kuhudhuria vipindi vya katikati ya wiki na vipindi vya idara
J,TANO BIBLE STUDY SAA 10:30
IJUMAA IBADA YA MAOMBI SAA 10:30

Photos from Rcc Tv's post 07/04/2026

MUNGU akubariki wewe ulie shiriki ibada hii ya kusifu na kuabudu hakika tumeouna utukufu wa BWANA katika kumsifu

04/04/2026

Baada ya pasaka utakua wapi🤔
Karibu rcc tukamtukuze mungu kwa nyimbo na kucheza tarehe 6/04/2026 kuanzia saa 8 mchana usipange kukosa
HAKUNA KIINGILIO

Photos from Rcc Tv's post 29/03/2026

Asante kuabudu nasi leo tarehe 29march 2026 ambapo tumejifunza kuhusu kukataa kujichafua moyo wako DANIEL 1:1-8
đź“– kataa maneno mabaya na mawazo mabaya ambayo yanakunajisi. Hakuna mtu atakae muona mungu pasipokua na huo utakatifu (mark 7:21)
đź“–kubali kudharauliwa na watu lakini hakikisha mahusiano yako na mungu yanakua bora
đź“–kua na msimamo wa imani yako katika kristo yesu
đź“–Jaa roho mtakatifu ambaye ni mwalimu kwetu na atakuepusha na mambo ya unajisi
UWE NA WIKI NJEMA🙏🙏

21/03/2026

Ibada ya sifa na kuabudu inaendelea hapa TAG ICC DODOMA

Photos from Rcc Tv's post 08/03/2026

sherehe zinaendelea hapa rcc ambapo tumeshudia shairi,igizo,na kibwagizo na mengine mengi bado yanaendelea hapa

Photos from Rcc Tv's post 08/03/2026

Mtumishi wa MUNGU mrs cassian akihubiri katika katika kilele cha wiki ya wanawake watumishi wa kristo

Photos from Rcc Tv's post 08/03/2026

weeke ibada imeanza hapa RCC ihumwa karibu uabudu pamoja nasi ikiwa ni kilele cha wiki ya wanawake watumishi wa kristo

28/02/2026

Sehemu ya mahubiri ya MCH. KABOJA
Ambapo alifundisha kuhusu KUTUNZA VIWANGO VYA KIMUNGU (badiliko la ndani) WARUMI 12:2
Msikilize hapa

Photos from Rcc Tv's post 22/02/2026

Asante kwa kuabudu nasi leo tar 22.02.2026 tukutakie wiki njema na yenye baraka pia kumbuka kutembea na maneno ya mungu tuliyo fundishwa na mch. Kaboja
KUTUNZA VIWANGO VYA KIMUNGU
NA JINSI YA KUTUNZA VIWANGO VYA KIMUNGU
✍kuweka mizizi ya kulisoma neno la MUNGU na kulipenda (zab 119:105)
✍kua na uhusiano wa ndani sana na roho mtakatifu utunzaji wa nguvu za kimungu huleta usalama kwa muumini kwa asilimia zote
✍ kuishi maisha matakatifu kwa gharama yeyote kuishi maisha matakatifu ni jambo la kulifanyia uamuzi wewe mwenyewe (1petro1:16)
UBARIKIWE🙏🙏

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Ihumwa
Dodoma