Iringa MotorSports Club
Best Club of the year 2004, 2005, 2017, 2018, 2023.
18/05/2026
KAMWENE!
Mkwawa Rally Of Iringa,
Tanzania Nrc-1,
6th to 7th June 2026,
Samora Stadium, Mt Huwel's Farm
Tukutane Kukaye!
14/05/2026
IRINGA IRINGA IRINGA 🏁
Baada ya kukiwasha sana Arc Uganda sasa ni zamu ya Tanzania Rally Championships NRC na tunafungua pazia ndani ya Kukaye!
Ebwana sio ya kukosa show safari hii itakua ya kibabe mno! Madereva wa kutosha, Barabara nzuri, Usalama unazingatiwa sana. Karibuni sana tukutane Iringa kupata burudani.
Ukiliona tangazo hili mwambie na mwenzako.
MPO TAYARI?
Asas Rally Team 🇹🇿
Are you ready for the new season !?
@
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Iringa