Mapinduzi Community - MACO

Mapinduzi Community - MACO

Share

Is a non-governmental organization with
VISION; TO SEE VULNERABLE GROUPS ARE FREE FROM HIV & COVID 19 DISEASES, POVERTY, GENDER-BASED VIOLENCE.

Photos from Mapinduzi Community - MACO's post 12/08/2023

Tar 10/8/2023, MACO ilipata mualiko wa kushiriki kikao cha MTAKUWWA k**a mdau/asasi ya kiraia inayojikita zaidi katika kupambana na ukatili wa kijinsia. Kikao hichi cha MTAKUWWA kilikuwa na lengo kuu la kufanya tathmini ya mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia 2017-2022 kwa mkoa wetu wa Iringa. Tunashukuru kwa mualiko huu uliotukuka!

Tunatoa pongezi kwa halmshauri zote za mkoa wa Iringa kwa utekelezaji Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA). Vile vile pongezi ziwafikie kupitia mradi wa Epic kwa kuwezesha kikao hiki muhimu kilicholeta morale zaidi ya kwenda kufanya kazi kupambana na ukatili wa kijinsia.

PICHANI; (1-2) mwanzo Kulia ni MRATIBU WA MACO, pembeni yake akiwa KATIBU wa MACO. (4) Picha ya pamoja ya washiriki.
📷

Cc;

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

//maps. App. Goo. Gl/ao2wr35RwZ6D21Rg 8
Iringa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 15:00
Saturday 09:00 - 13:00