Mehetabel
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mehetabel, Religious organisation, P. o. Box 22, Iringa.
Yesu Kristo alipojitambulisha ktk Hekalu la mahali alipozariwa kwamba Ndiye Masihi waliyekuwa wakimsubiria miaka mingi, Kuanzia Mkuu wa Hekalu mpaka washirika ktk Hekalu walitaka kumuua kwa kumtupa chini ya mlima kolongoni.
Lakini Yesu alipita katikati yao akaenda zake.
Nakuombea Mungu akutie nguvu na upite katikati ya wale wote waliojipanga kukuzuia maishani mwako, SONGA MBELE KESHO YAKO NI NJEMA.
13/10/2017
Bila kupigana Vita huwezi kupata wala kumiliki Baraka zako za rohoni Mtu wa Mungu pokea silaha hizi(Maandiko) zikusaidie vitani.
Usiogope wala usikate tamaa kwa kuwa Mtetezi wako yu hai, ile ndoto uliyoiota siku nyingi ya kuyaishi mafanikio yako ipo siku itatimia. Mungu akupiganie na azidi kukutetea.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Iringa
MJINI