IFarm greens
Wazalishaji na Wasambazaji Wa Miche Bora Ya Matunda,Maua Na Viungo
Wasiliana nasi 0760632288
11/07/2025
Feedback kutoka kwa mteja wetu
Maendeleo ni mazuri 🌱
10/07/2025
🌱Miche ya tini (Fig plant) inapatikana Green Empire Tz kwa bei na fuu kabisa.
💰Inapatikana kwa sh 20,000 tu
📞Tupigie 0760632288 Lihawa kutoka chuo cha SUA
𝐊𝐖𝐀 𝐍𝐈𝐍𝐈 𝐔𝐍𝐔𝐍𝐔𝐄 𝐌𝐈𝐂𝐇𝐄 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐓𝐔...?
1.Ubora wa hali ya juu
na ustahimilivu
2.Mafunzo na ushauri
Bure
3.Bei zetu ni nafuu
4.Huduma ya haraka
𝐍𝐀𝐌𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐔𝐅𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐏𝐀𝐓𝐈𝐀 𝐌𝐈𝐂𝐇𝐄
1. Fika mwenye kwenye vitaluu vyetu Morogoro mjini karibu na nashera
2. Agiza mtu wako kwenye vitalu vyetu
3. Weka oda na utumiwe kwa basi mikoa yote Tanzania.
𝐉𝐈𝐍𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐎𝐃𝐀
1. Tuma orodha ya miti unayoitaji, lipia gharama ya Miche yako pamoja na usafiri.
2. Miche yako itaandaliwa Kisha utatumiwa tiketi ya mzigo
📍𝐓𝐔𝐏𝐎 𝐌𝐎𝐑𝐎𝐆𝐎𝐑𝐎 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈
📲Call/text/Whatsapp
💬0760632288
📞0760632288
🌱 𝐆𝐫𝐞𝐞𝐧 𝐄𝐦𝐩𝐢𝐫𝐞 𝐓𝐳__𝐖𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐋𝐞𝐨 𝐊𝐰𝐚 𝐊𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐛𝐨𝐫𝐚!
11/02/2025
Smart Investment
25/01/2025
Karibu Ujipatie Miche ya embe ya muda Mfupi kwa Tsh 2000/= Tu badala ya 2500/=
Tupo Morogoro Mjini ila popote Nchini itakufikia kwa njia ya basi
Tupigie 0760632288
17/01/2025
🍊🍎🥭 MSIMU HUU WA MVUA🍊🍎🥭 🌧️
USIKUBALI OFA HII YA MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI, MICHE YA VIUNGO,MICHE YA MITI YA MBAO, MIMEA TIBA, MICHE YA MITI YA UREMBO IKIPUTE
NI KUANZIA MICHE KUMI(10) UNATUMIWA KWA NJIA YA BASI🚌
📞 0760632288, Lihawa
MICHE ILIYOPO KWA SASA NI:-
🌱 Maembe aina zote - 2000/=
🌱Machungwa -2000/=
🌱Limao -2000/=
🌱Parachichi(Hass na local) -2500/=
🌱Parachichi Choquette (Burundi) -4000/=
🌱 Papai za kisasa - 2500/=
🌱Chenza -2500/=
🌱Ndimu -2500/=
🌱Pomelo -3000/=
🌱 Passion -2000/=
🌱Giant passion -2500/=
🌱Migomba -3000/=
🌱Strawberry - 2500/=
🌱 Pera -2500/=
🌱Stafeli -2000/=
🌱Topetope -2000/=
🌱 Fenesi. -2000/=
🌱 Minazi mifupi - 7000/= na 9000/=
🌱Mizambarau -2000/=
🌱Komamanga -2500/=
🌱Korosho -2500/=
MICHE YA MATUNDA ADIMU :-
🌱Strawberry Guava - 3000/=
🌱Mulberry's -3000/=
🌱Gooseberry -3000/-
🌱Blackberry -3000/-
🌱 Raspberry -3000=
🌱Tende - 7000/=
🌱Mizaituni -4000/=
🌱Zabibu - 4000/-
🌱Macadamia -3000/=
🌱Mikaranga(Guinea nuts)- 3000/=
🌱Loquat - 5000/=
🌱Miche ya Apple. -8000/=
🌱Peas - 8000/=
🌱 Peaches -8000/=
🌱Bungo -3500/=
🌱 Shokishoki. -5000/=
🌱Shelisheli seedless(Bread fruits) - 15,000/-
🌱Shelisheli za mbegu (bread nuts)- 5000/-
🌱 Dragon fruit - 12,000/=
🌱Star fruit - 3000/=
🌱Embe ng'ong'o - 3000/=
🌱Tini(figs) -15,000/=
VIUNGO
🌱Karafuu/cloves - 4000/=
🌱Mdalasini/cinnamon -4000/=
🌱Pilipili Manga/black pepper 4000/=
🌱Vanilla 4000/=
🌱Iliki 4000/=
🌱Rosemary 4000/=
🌱Mbilimbi 4000/=
🌱Lavender 3000/=
MAUA NA MITI YA MAPAMBO
🌴Royal palm- 15,000
🌴 Madagascar palm 15,000
🌴 Bismarck palm- 60,000/=
🌴Golden palm -15,000/=
🌴Tanga palm- 15,000/=
🌴Finger palm -15,000/=
🌴 Alexandria palm - 15,000/=
🌴Sago/American palm 30,000 /=
🌸Musaenda - 50,0000/-
🌹Rose - 5,000 na 10,000/=
💐Boganvilea- 2000/=
💐Jesus flower -10,000/=
na mingine mingi.
MITI YA KIVULI NA UREMBO
🌳MIHARADALI - 2500
🌳MIDODOMA - 2500
🌳MIKRISMAS - 2500
🌳KODIA - 5000 NA 10,000
🌳POINSETTIA - 7,000
🌲ERAUCARIA - 10,000 na 20,000
🌲PARIS' XMASS - 20,000
🌳PLUMERIA- 20,000
🌲ASHOK - 2500
🪵🪵Miti ya mbao hipo kwa Bei ya 1000 tu.
NAMNA YA KUTUFIKIA NA KUJIPATIA MICHE
1. Fika mwenye kwenye vitaluu vyetu Morogoro mjini karibu na nashera
2. Agiza mtu wako kwenye vitalu vyetu
3. Weka oda na utumiwe kwa basi mikoa yote Tanzania.
JINSI YA KUWEKA ODA
1. Tuma orodha ya miti unayoitaji, lipia gharama ya Miche yako pamoja na usafiri.
2. Miche yako itaandaliwa Kisha utatumiwa tiketi ya mzigo
PIA NAPENDA KUKARIBISHA TAASISI ZA UMA NA BINAFSI, MASHIRIKA YOTE NA WENYE MIRADI YA KILIMO ILI TUFANYE BIASHARA
TUKO MOROGORO MJINI KARIBU NA NASHERA HOTEL
📞 0760632288, Lihawa
Nakuomba save namba yangu na kushare kwa ndugu na jamaa hata K**a hauhitaji Miche kwa Sasa.
🍒🌳🌸KARIBU SANA WEWE NI WA THAMANI KWETU🍓🍊🍐
02/01/2025
🎄🎄OFA YA MSIMU WA SIKUKUU🎄🎄
jipatie miche bora ya matunda ya kisasa na muda mfupi ya viwango vya hali ya juu kwa mavuno yaliyo bora kwa ajili ya shamba lako na bustani ya nyumbani
📞0760632288
miche 🌱 tuliyonayo ni pamoja na:-
🌱Maembe aina zote - 2000/=
🌱Machungwa -2000/=
🌱Papai za kisasa -2500/=
🌱Parachichi(Hass na local) -2500/=
🌱Limao -2000/=
🌱Chenza -2500/=
🌱Ndimu -2500/=
🌱Pomelo -3000/=
🌱 Passion -2000/=
🌱Giant passion -2500/=
🌱Migomba -3000/=
🌱Strawberry - 2500/=
🌱 Raspberry's -3000/=
🌱 Pera -2500/=
🌱Stafeli -2000/=
🌱 Topetope -2000/=
🌱 Fenesi. -2000/=
🌱 Minazi mifupi - 7000/= na 9000/=
🌱 Mizambarau -2000/=
🌱Komamanga -2500/=
🌱Tende - 7000/=
🌱Mizaituni -4000/=
🌱 Zabibu. - 4000/-
🌱Miti ya Hina - 3000/=
🌱Korosho -3000/=
🌱 Macadamia -3000/=
🌱Mikaranga(Guinea nuts)- 3000/=
🌱Miche ya Apple. -8000/=
🌱 Shelisheli(Bread nuts) - 15,000/-
🌱 Dragon fruit - 12,000
🌱 star fruit - 3000
VIUNGO (SPICES)
🌱Karafuu - 4000/=
🌱Mdalasini -4000/=
🌱 Pilipili manga -4000/=
🌱Vanila -4000/=
🌱 Iliki -4000/=
🌱Mint -4000/=
🌱 Rosemary - 3000/=
🌱 Green tea -3000/=
🌱Mbilimbi - 3000/=
🌱Mchaichai(lemon grass)- 2000/=
PIA TUNA MAUA NA MITI MBALIMBALI YA MAPAMBO K**A VILE:
🌴Royal palm- 15,000 na 20,000/=
🌴 Madagascar palm 15,000 na 20,000/=
🌴 Bismarck palm- 60,000/=
🌴Golden palm -15,000/=
🌴Tanga palm- 15,000/=
🌴Finger palm -15,000/-
🌴Fish tail palm - 15,000/= na 20K
🌴 Alexandria palm - 15,000/- na 20K
🌴Sago/American palm 40,000 /=
🌹Rose - 5,000 na 10,000/=
🥀 Boganvilea- 2000/=
🌷Jesus flower -10,000/=
na mengne mengi aina zaidi ya 50.
🪵🪵Miti ya mbao ipo pia sh 1000 tu.
Mawasiliano:-0760632288,Lihawa
🕹️Tupo Morogoro mjini karibu na nashera hoteli
📌Huduma Ya Usafirishaji Ni Kwa Nchi NZIMA Kwa Njia Ya Basi🚌
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Website
Address
Iringa
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 |