AFYA TZ

AFYA TZ

Share

Tunawasaidia watanzania wenye changamoto ya kuwahi kufika kileleni pamoja kuwasaidia wanawake kukosa hedhi pamoja na urembo na ngozi

17/06/2022

KWANINI KUJISAIDIA CHOO KIGUMU NI KATIKA SABABU ZA MTU KUPATA BAWASIRI??

MAJIBU
⤵⤵⤵⤵⤵
-Kujisaidia choo Kigumu/Constipation ni katika sababu za kupata Bawasiri kwasababau mtu hutumia nguvu nyingi wakat wa kujisaidia hivyo hupelekea mgandamizo wa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa/puru hali hii hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa ya damu na kusababisha Bawasiri

Miongoni mwa sababu za mtu kujisaidia choo Kigumu ni:⤵⤵⤵⤵⤵

▶️ Ulaji duni -Kutohusisha vyakula vyenye nyuzi nyuzi(fibres) katika mlo k**a vile Mboga za majani na matunda pia kutokunywa maji ya kutosha.Pia kula vyakula vilivyokobolewa k**a Sembe na Wali bila kuhusisha vyakula vya kusaidia mmeng’enyo wa chakula ni katika sababu ya kupata choo Kigumu.

▶️ Vidonda vya TUMBO
-Vidonda vya tumbo husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu vidonda huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu.

▶️ Ngiri/Hernia
–Ngiri/Hernia husababisha mtu kujisaidia choo Kigumu kwasababu Ngiri huathiri mmeng’enyo wa chakula na kupelekea kupata choo Kigumu hivyo husababisha Bawasiri.

MUHIMU
-Mtu mwenye Ngiri na Vidonda vya TUMBO ni ngumu sana kupona Bawasiri endapo hatotibu Ngiri na Vidonda vya TUMBO pia wakati anatibu Bawasiri.

-Usipojua chanzo cha Bawasiri yako na kutatua chanzo hicho basi unaweza kuhangaika na Bawasiri hata kwa miaka zaid ha 10.

-Bawasiri ni athari. ambayo inaashiria kuna tatzo hivyo tibu/Jiepushe na chanzo Bawasiri itakukimbia yenyewe .
https://quicksell.co/s/mndedatz-afya-talk/tatizo-lako-umehaika-sana-bila-kupata-tiba-basi-inatosha-tibu-bawasiri-kwa-njia-ya-haraka-sana-utaona-matokeo/nr5

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kariakoo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Mbezi Kimara
Kariakoo
MBEZMWISHO