Awetooze

Awetooze

Share

classy handbags, headscarves (Mitandio), Modesty clothes including Jilbabs

18/05/2026

Inatokea unanunua nguo...

Lakini hujui utai style vipi

Same applies to kijuba maxi...

Mara nyingi unahangaika kujua utakivaa vipi.

Hii hapa trick

01/05/2026

K**a wewe ni busy woman k**a mie...

Make sure outfit utakyoitafuta iwe inakuacha confortable bila kujali wapi unaenda...

Ukiwa na outfit multipurpose k**a hiyo nlokueleza japo juu...

Itakurahisishia mambo mengi hata kwenye bujeti zako za manunuzi ya nguo.

Kwani hutohitaji kuwa outfit nne aina yofautitofauti ili upate oufits zinazoendana na outing yako.

K**a ulikuwa hujawahi kuisikia hii, basi isikie na jaribu uone jinsi gani inafanya kazi

Dress ipo size 40 tu, cutting yake kubwa

165,000/=

Handbag 70,000/=

Tunapatikana Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai

Tupigie/Whatapp 0717001667

Want your business to be the top-listed Shop in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Kibaha
COASTMARTSUPERMARKET