afya_yangu98

afya_yangu98

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya_yangu98, Health/Beauty, Mbeya.

13/03/2022

FOREVER ARGI+ (PLUS).

Ni mchanganyiko wa L-Arginine na matunda ya Komamanga, Waini nyekundu, Matunda ya Berries k**a BlackBerry, Blueberry na StroBerry, Zabibu na Zambalau yakiwa na Vitamin B6, B9 & B12, C, D3 na K2

L - Alginine ni Amino Acid husaidia uzalishaji wa Nitric
Oxide mwilini. hurahisisha usafirishaji wa damu kutoka sehemu moja hadi nyingine ya mwili.

FAIDA YA ARGI PLUS

1. Husaidia msukumo wa damu mwilini ufike kwa wakati sehemu husika.

2. Hupunguza kiwango cha sumu mwilini.

3. Husaidia uzalishaji wa Chembe hai nyeupe kwa kuimalisha kinga za mwili.

4. Huyeyusha mafuta mabaya kwenye mishipa ya damu (Cholesterol ).

5. Husaidia ufanyaji kazi mzuri wa Ubongo na Kumbukumbu.

6. Huimarisha afya ya Mifupa, Meno na Misuli.

7. Hurekebisha Insulin kwa kudhibiti kiwango cha sukari mwilini na kuupa mwili nguvu.

8. Huondoa Uchovu, Msongo Mawazo na Maumivu ya Kichwa.

9. Hurekebisha Homorne, hupunguza Kasi ya Uzee, huimalisha afya ya Uzazi na huondoa ganzi.

Kwa ushauri Piga simu au gusa link njoo inbox WhatsApp

https://wa.me/+255742105344?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20ArgiPlus%2B%20na%20matumizi

06/06/2021

BORESHA AFYA YA UZAZI NA 👇👇

FOREVER MULTI - MACA

Ni Kirutubisho kilichoandaliwa kwa kusaga mizizi ya mmea wa MACA unaopatikana Nchini PERU.

Nchini Peru wanatumia hiyo mizizi kuchanganya kwenye Chakula, Mboga au Maji ili kuboresha na kuimalisha afya ya Uzazi kwa Wanaume na Wanawake.

FAIDA YA MULTI MACA

1. Hurekebisha homorne kwa watu wenye Homorne Imbalance.

2. Huzibua Uchafu kwenye mirija ya uzazi na kuimalisha afya ya mfumo wa uzazi na Kibofu.

3. Husaidia uzalishaji, kuboresha na kuongeza idadi ya Mbegu kwa wanaume wenye tatizo la Low S***m Count.

4. Husaidia Kupevusha Mayai, Kupunguza maumivu wakati wa hedhi na madhara ya kukoma kwa hedhi kwa wanawake.

5. Huimalisha afya ya Tezi na kuzuia kutanuka kwa Tezi au Saratani ya Tezi Dume.

6. Huzuia Ukuaji wa Vimbe kwenye Kizazi au Fangasi sehemu za siri.

7. Huondoa na kuzuia mtu kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa.

8. Huimalisha afya ya mzunguko wa damu, huupa mwili nguvu na stamina kwa muda mrefu.

9. Husaidia mwili kuweka mahusiano mazuri kati ya Ubongo na Sense ya mwili kuchochea hisia za kijinsia.

Kwa ushauri na huduma piga au gusa link hapa chini.

https://wa.me/+25575742105344?text=Naomba%20maelezo%20kuhusu%20Multi-Maca%2B%20na%20matumizi

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Mbeya